Elections 2010 Lala salama Igunga: Mgombea wa CUF azipiga kavukavu na wanavijiji

Elections 2010 Lala salama Igunga: Mgombea wa CUF azipiga kavukavu na wanavijiji

Jamani Muoneeni huruma.. kushindwa kubaya jamani.. keshaona maji yameshamfika.. inauma.. akikumbuka Pesa aliyokopa kwenye ile SACCOS yake huko Igunga na Malampaka, CUF wamemtawanyikia, Lipumba wakati muhimu kama huu wa kumpa support yeye anapanda Dege kaenda zake USA kusaka pediem za Proposal yake.. njaa anaona Inanukia, Mgao wa mahindi ambao yeye alipangiwa kama msimamizi wa kanda na alipanga angechakachua vilivyo sasa ameshaukosa.. uchaguzi unaisha, ubunge anaukosa.. madeni H'UH'A..

Kwanini mbaba wa watu asirusherushe vijikonde potelea mbali hata kama ni kujisaidia sebuleni ukwenini.. watu weshapagawa ati.. chezea siasa.. wewe..
 
Anatenda sawa sawa na baba yake; kilichomo moyoni mwa mtu hudhihirika kwa nje katika matendo - magomvi, hasira, kiburi; sawasawa na anayemdhamini. Ningeambiwa ni wafuasi wake wamefanya hayo wala nisingeshangaa wala kujali kwani ni kawaida sana ya mashabiki.

Lakini inapokuwa ni mgombea mwenyewe kafanya upuuzi huo ameonesha kiwango cha chini mno cha uanasiasa. Alitakiwa awe wa kwanza wa kutuliza wafuasi wake na sio vinginevyo.
 
Mtatiro was he there ? Atasemaje kuhusu hili maana kila mara amekuwa akidai kwamba Chadema wana vurugu wanafuata fuata CUF now anasemaje ?
 
Mtatiro was he there ? Atasemaje kuhusu hili maana kila mara amekuwa akidai kwamba Chadema wana vurugu wanafuata fuata CUF now anasemaje ?

Muangalie kwenye hiyo picha yupo nyuma anatembea
 
Kumbe ndo maana TBC hawajawaonyesha,Na helkopta yao TBC wameionyesha ikiwa ina sumbua mkutano wa CDM
 
Leo katika mkutano wa kampeni za lala salama za CUF mgombea ubunge wa chama hicho Lepold Mahona alizipiga kavukavu kavu kavu dhidi ya polisi na baadhi ya wanavijiji na ailzuiwa kuendelea na askari wa FFU waliokuwapo.

Kisa ni kwamba CUF waliingilia eneo la shule ya Msingi Nandekwa kutaka kufanya mkutano, huku eneo hilo lilikuwa limepangiwa CDM kufuatana na ratiba. Katika mabishano makali polisi iwalisisitiza CUF waliachilie eneo, ndipo Mahona akaja juu akidai alitukanwa vibaya na wafuasi wa CDM.

Alianza kurusha makonde kwa kila mtu aliyekuwa mbele yake lakini baadaye alidhibitiwa na FFU kama saba wenye virungu pamoja na viongozi wa chama hicho hadi ndani ya helikopta iliyokuwa ikiwasubiri.

attachment.php

View attachment 38183

mmh! Huyu hafai kuwa kiongozi.
 
Kukosa kubaya jamani. Angalao atungue wananchi wawili watatu kwa makonde ili yaishe.
 
afadhali amejitoa mwenyewe kwania alikuwa anasingizia tumeenda kugawa kura zake, but now ameamua kutupa cdm kura zalke kwa vitendo!
 
matokeo yakitoka si ndo atatoka na mapanga,bastola na sime?hii hatari.mia
 
Mmh!haya bana,hao hao wakupigie kura hao hao uwape nacoz...
 
Inaonekana ni matokeo ya kukataa tamaaaa, sababu zinazoelezwa kumpelekea kufanya hivo c nzito kiivyo! its real bad!
 
Mahona kawachapa viongozi wa cdm na mkutano ukaendelea kama kawa, mkutano wa cdm ndio uliovunjika.
 
hata igunga mjin cuf wameingilia cdm uanja wa barafu, wakatimliwa, Then intelijensia ya cdm ikatuma taarifa kuwa saa 11 chopa ya cuf itapita kwny mkutano wa cdm ili watu wahame na kuifata, cdm iliwandaa watu wasiondoke bali wazomee kitu ambacho wamefanikiwa kwan chopa ya cuf ilifika muda huo na watu wakapiga mwano huku wakionesha vidole viwili hewani! Ova!
 
Vichaa wanaanza kujipambanua.
Ngoja kesho tuone.
 
Leo katika mkutano wa kampeni za lala salama za CUF mgombea ubunge wa chama hicho Lepold Mahona alizipiga kavukavu kavu kavu dhidi ya polisi na baadhi ya wanavijiji na ailzuiwa kuendelea na askari wa FFU waliokuwapo.

Kisa ni kwamba CUF waliingilia eneo la shule ya Msingi Nandekwa kutaka kufanya mkutano, huku eneo hilo lilikuwa limepangiwa CDM kufuatana na ratiba. Katika mabishano makali polisi iwalisisitiza CUF waliachilie eneo, ndipo Mahona akaja juu akidai alitukanwa vibaya na wafuasi wa CDM.

Alianza kurusha makonde kwa kila mtu aliyekuwa mbele yake lakini baadaye alidhibitiwa na FFU kama saba wenye virungu pamoja na viongozi wa chama hicho hadi ndani ya helikopta iliyokuwa ikiwasubiri.

attachment.php

View attachment 38183

kama hii imeshawahi kutokea Tanzania?
 
Nawashangaa mliokuwa mnafikiri CUF wako serious binafsi niliwapuuza tangu siku ya kurudisha fomu walipo weka gari lao katikati ya barabara, kwenye uchaguzi huu lengo la CUF lilikuwa si kushinda bali kuwaharibia CDM.

Tumeona leo walivyokuwa wanazungusha helkopita yao juu ya mkutano wa CDM yaani ni kutafuta shari ni kama mtu anapogombana na celebrity ili naye aandikwe gazetini.
 
Back
Top Bottom