Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wakuu Mungu awe Nanyi Muda Wote.
Hii Taarifa Sio Muhimu Sana na Mtanisamehe Ambao Mtaona Au Mtajisikia Vibaya. Napenda Kuwapa Taarifa Kwamba Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro Amefariki Dunia Jana Sa10 Jioni Kwa Saa za Afrika Mashariki Hospital ya mzena.
Kagere Alikuwa ni Msaidizi Wa Rais Jk Baada akawa Msaidizi(Mlinzi) Wa Makamu Wa Rais Wakati Ule Dr. Bilali. Dr. Mwinyi alivyopitishwa na CCM Kuwa Mgombea Urais Zanzibar Mkakaro Akawa Comadate 1 Wa Rais Mwinyi.
Uchaguzi Ulivyoisha aliendelea Kuwa Ocampo 1(Samahani Hizi Ni Lugha za Mbweni zaidi) Wa Rais Mwinyi Huko Zenji. Hata Mwezi Haujaishi Kagere Akaumwa Sana Mguu na Kichwa ikabidi arudishwe Kwao Musoma akapata Tiba Akarudi Zenji Kazini.
Baadaye akaanza Kuumwa Kichwa Na Ule Mguu ukazimba Ukawa Mkubwa, So jana Amefariki Sa10 Jioni Hospital ya Mzena-Mikocheni. Taratibu za Kuupeleka Mwili Kwao Musoma-Mara Zinaendelea.
R.I.P Comadate Mkakaro Kagere Mkakaro[emoji24]