TANZIA Lala Salama Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro

TANZIA Lala Salama Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro

Hayo ya mange siyajua, ila namfahamu Glady tangu yupo dodoma CBE mpaka akapewa mimba na Charles and at the same time charles akawa anaishi na Lisa pale mjengoni, baadae Glady akaja akahamia dar, Lisa akaolewa na mdogo wake Masha sijui hata ikiishia wapi[emoji1787][emoji1787] sema nilipoteana na Glady, namjua pia dada yake Charles anaitwa juliana
Glady Yuko Tigo pale Mlimani City

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juliana Yuko Mwanza Kwa Sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Charles Mkakaro Kagere
255623226089_status_f71f466e38bd49a3adb93bc47092b496.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaaani, nini kimemkuta Charles? Watoto wake bado wadogo

Namkumbuka mwanae July, Glady used to be my best friend before i got married halafu tukapoteana,wakati huo alikua akitoka dodoma anafikia kwangu
Mbaka
 
Huko Pwani wanapiga Muguu tu.

Hata kijana sonzo wa kule kwa Masau bwire nae walipiga mkuu.

Wote ndani ya muda mfupi tu wameondoka......

Yeye angewaachia huo ukomarade huko Ocampo 1,kisha arudi huku MMJ na wangempa ka-shughuli kengine.

Kule wanapaweza wenyewe...hiko ni kitu chengine..

R.I.P Kamanda....
 
Na
Sio tu kumuacha, enzi hizo Masha waziri wa mambo ya ndani, aliachwa na aliiitwa kupigwa mkwara juu ili akae mbali na Lisa maana nae alikua mbabe alikua mtu wa kumtishia kila mtu...yaani yeye kukutolea bastola kukwambia ntakuua ni simple especially ukimsogelea Lisa

Mkwara wake ulikua kama wa DeepPond ukimsogelea mama Jasmine
Vero mwenyewe amemfanyia mbaya huyo mdogo wake Masha aisee Kuna wanawake wabovu Ila wana nanihii tamu sijui zinawasumbua watu.

Demu kamzingua sana huyo mdogo wa Masha nae baada ya mzigo kukata
 
Back
Top Bottom