Wakuu Mungu awe Nanyi Muda Wote.
.
Hii Taarifa Sio Muhimu Sana na Mtanisamehe Ambao Mtaona Au Mtajisikia Vibaya.
.
Napenda Kuwapa Taarifa Kwamba Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro Amefariki Dunia Jana Sa10 Jioni Kwa Saa za Afrika Mashariki Hospital ya mzena.
.
Kagere Alikuwa ni Msaidizi Wa Rais Jk Baada akawa Msaidizi(Mlinzi) Wa Makamu Wa Rais Wakati Ule Dr. Bilali.
.
Dr. Mwinyi alivyopitishwa na Ccm Kuwa Mgombea Urais Zanzibar Mkakaro Akawa Comadate 1 Wa Rais Mwinyi.
.
Uchaguzi Ulivyoisha aliendelea Kuwa Ocampo 1(Samahani Hizi Ni Lugha za Mbweni zaidi) Wa Rais Mwinyi Huko Zenji.
.
Hata Mwezi Haujaishi Kagere Akaumwa Sana Mguu na Kichwa ikabidi arudishwe Kwao Musoma akapata Tiba Akarudi Zenji Kazini.
.
Baadaye akaanza Kuumwa Kichwa Na Ule Mguu ukazimba Ukawa Mkubwa, So jana Amefariki Sa10 Jioni Hospital ya Mzena-Mikocheni.
.
Taratibu za Kuupeleka Mwili Kwao Musoma-Mara Zinaendelea.
.
R.I.P Comadate Mkakaro Kagere Mkakaro[emoji24]
Sent using
Jamii Forums mobile app
View attachment 2127041