TANZIA Lala Salama Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro

TANZIA Lala Salama Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro

Na

Vero mwenyewe amemfanyia mbaya huyo mdogo wake Masha aisee Kuna wanawake wabovu Ila wana nanihii tamu sijui zinawasumbua watu.

Demu kamzingua sana huyo mdogo wa Masha nae baada ya mzigo kukata
Aisee kumbe, duuh kweli vero alishindikana
 
Uzi mujarabu...
Maziko lini? ili ndugu,jamaa na marafiki wapate kushiriki
 
Wakuu Mungu awe Nanyi Muda Wote.
.
Hii Taarifa Sio Muhimu Sana na Mtanisamehe Ambao Mtaona Au Mtajisikia Vibaya.
.
Napenda Kuwapa Taarifa Kwamba Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro Amefariki Dunia Jana Sa10 Jioni Kwa Saa za Afrika Mashariki Hospital ya mzena.
.
Kagere Alikuwa ni Msaidizi Wa Rais Jk Baada akawa Msaidizi(Mlinzi) Wa Makamu Wa Rais Wakati Ule Dr. Bilali.
.
Dr. Mwinyi alivyopitishwa na Ccm Kuwa Mgombea Urais Zanzibar Mkakaro Akawa Comadate 1 Wa Rais Mwinyi.
.
Uchaguzi Ulivyoisha aliendelea Kuwa Ocampo 1(Samahani Hizi Ni Lugha za Mbweni zaidi) Wa Rais Mwinyi Huko Zenji.
.
Hata Mwezi Haujaishi Kagere Akaumwa Sana Mguu na Kichwa ikabidi arudishwe Kwao Musoma akapata Tiba Akarudi Zenji Kazini.
.
Baadaye akaanza Kuumwa Kichwa Na Ule Mguu ukazimba Ukawa Mkubwa, So jana Amefariki Sa10 Jioni Hospital ya Mzena-Mikocheni.
.
Taratibu za Kuupeleka Mwili Kwao Musoma-Mara Zinaendelea.
.
R.I.P Comadate Mkakaro Kagere Mkakaro[emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2127041
Itakuwa kapigwa kipapai
 
Mleta mada kapicha basi hata kapamoja wengine hatumfahamu
 
Sio Kila anacomment hapa ana kitambulisho Mzee Wengine Tulisoma nae Chuo

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa mshamba sana kwahiyo kufahamiana na watu lazima uwe idara moja na unayemfahamu?

Mie mbona nawajua vipepeo wengi tu wengine nilisoma nao sasa haina maana kwamba nikimtolea taarifa ya ugonjwa ama msiba lazima nami niwe naye ofisi moja.
 
Huyo jamaa mshamba sana kwahiyo kufahamiana na watu lazima uwe idara moja na unayemfahamu?

Mie mbona nawajua vipepeo wengi tu wengine nilisoma nao sasa haina maana kwamba nikimtolea taarifa ya ugonjwa ama msiba lazima nami niwe naye ofisi moja.
Ushamba Mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana familia ya Ntararagala Chilangi....Rest in Eternal Peace Fallen Soldier!
Pole sana kwao.
Wakuu tuwe na roho za Kibinadamu kwenye masuala yanayohusu Msiba, sote ni Wasafiri hapa Duniani si vema kumvunjia heshima Marehemu maaana kwa sasa hawezi kujitetea. Kikubwa tumwombee apumzike Mahala panapomstahili.
 
Poleni sana familia ya Ntararagala Chilangi....Rest in Eternal Peace Fallen Soldier!
Utakua ulimaanisha familia ya mzee Mtaragala Chilangi wa pale Kamunyonge jirani na kikosi cha kutuliza ghasia (FFU).
Enzi za uhai wa mzee Chilangi ukipita kwake unakuta vibao mlangoni kulingana na mahali alipo kwa wakati huo. Mfano wa vibao ni HAYUPO, AMELALA, KATOKA, YUPO, KAPUMZIKA, nk. RIP mzee Chilangi.
 
Mmmmh! Aliyefariki Kagere mtoa taarifa Onyango!!!


Pumzika panapokustahiri ndg Kagere!!
 
Back
Top Bottom