TANZIA Lala Salama Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro

TANZIA Lala Salama Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro

Utakua ulimaanisha familia ya mzee Mtaragala Chilangi wa pale Kamunyonge jirani na kikosi cha kutuliza ghasia (FFU).
Enzi za uhai wa mzee Chilangi ukipita kwake unakuta vibao mlangoni kulingana na mahali alipo kwa wakati huo. Mfano wa vibao ni HAYUPO, AMELALA, KATOKA, YUPO, KAPUMZIKA, nk. RIP mzee Chilangi.
Hahahahahaha!!! Alikuwa mtata sana huyo mzee yaonekana!
 
Mkakaro huyu huyu aliekuwa pale jumba jeupe au? Mimi nilimfahamu kwa jina la Charles Mkakaro au baba Glady, bado mdogo nini kimemkuta?

Sema jamaa alikua anapenda kutishia watu maisha, zile za unanijua mimi alikua nazo sana
Dah....."Peace" 🤭
 
Kwangu mtu akishaanza hizo mambo ( unanijua mimi nani) namtreat vibaya kuliko kawaida ili anioneshe yeye ni nani.
 
Sio Kila anacomment hapa ana kitambulisho Mzee Wengine Tulisoma nae Chuo

Sent using Jamii Forums mobile app

na pia anatakiwa afahamu kuna public security officers na pia kuna secrete security officer.
public security officers wanajulikana na jamii hawa mfano ni walinzi wa viongozi na watendaji wengine wa tiss kama ma DSOs ,RSOs na DG wa TISS ma secret security officer hawa hawajulikani na hawatakiwi kujulikana
 
Hata Mwezi Haujaishi Kagere Akaumwa Sana Mguu na Kichwa ikabidi arudishwe Kwao Musoma akapata Tiba Akarudi Zenji Kazini.
.
Baadaye akaanza Kuumwa Kichwa Na Ule Mguu ukazimba Ukawa Mkubwa, So jana Amefariki Sa10 Jioni Hospital ya Mzena-Mikocheni.[emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji15][emoji848]
.
Kimbola Hiko sio bure
 
Huyo alikuwa kiboko
Utakua ulimaanisha familia ya mzee Mtaragala Chilangi wa pale Kamunyonge jirani na kikosi cha kutuliza ghasia (FFU).
Enzi za uhai wa mzee Chilangi ukipita kwake unakuta vibao mlangoni kulingana na mahali alipo kwa wakati huo. Mfano wa vibao ni HAYUPO, AMELALA, KATOKA, YUPO, KAPUMZIKA, nk. RIP mzee Chilangi.
 
Tutaj
Tutajie mwingine aliyekufa kiajabu basi tukuelewe kwamba unawajua
mbona wengi tu hadi huku jf zinarushwa
soma hapo chini na kuna nyingine naitafuta nitaileta

Back
Top Bottom