Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha!!! Alikuwa mtata sana huyo mzee yaonekana!Utakua ulimaanisha familia ya mzee Mtaragala Chilangi wa pale Kamunyonge jirani na kikosi cha kutuliza ghasia (FFU).
Enzi za uhai wa mzee Chilangi ukipita kwake unakuta vibao mlangoni kulingana na mahali alipo kwa wakati huo. Mfano wa vibao ni HAYUPO, AMELALA, KATOKA, YUPO, KAPUMZIKA, nk. RIP mzee Chilangi.
Dah....."Peace" 🤭Mkakaro huyu huyu aliekuwa pale jumba jeupe au? Mimi nilimfahamu kwa jina la Charles Mkakaro au baba Glady, bado mdogo nini kimemkuta?
Sema jamaa alikua anapenda kutishia watu maisha, zile za unanijua mimi alikua nazo sana
Kwangu mtu akishaanza hizo mambo ( unanijua mimi nani) namtreat vibaya kuliko kawaida ili anioneshe yeye ni nani.Mkakaro huyu huyu aliekuwa pale jumba jeupe au? Mimi nilimfahamu kwa jina la Charles Mkakaro au baba Glady, bado mdogo nini kimemkuta?
Sema jamaa alikua anapenda kutishia watu maisha, zile za unanijua mimi alikua nazo sana
Sio Kila anacomment hapa ana kitambulisho Mzee Wengine Tulisoma nae Chuo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimbola Hiko sio bureHata Mwezi Haujaishi Kagere Akaumwa Sana Mguu na Kichwa ikabidi arudishwe Kwao Musoma akapata Tiba Akarudi Zenji Kazini.
.
Baadaye akaanza Kuumwa Kichwa Na Ule Mguu ukazimba Ukawa Mkubwa, So jana Amefariki Sa10 Jioni Hospital ya Mzena-Mikocheni.[emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji15][emoji848]
.
Hana watoto wa2 Tu! Tafsiri kwa kijaluo.
Mkuu Kimbola nacho ni sayansi, mtu akikuzingua unakimbilia kwenye Kimbola kazi inakuwa imekwisha.Kimbola Hiko sio bure
Utakua ulimaanisha familia ya mzee Mtaragala Chilangi wa pale Kamunyonge jirani na kikosi cha kutuliza ghasia (FFU).
Enzi za uhai wa mzee Chilangi ukipita kwake unakuta vibao mlangoni kulingana na mahali alipo kwa wakati huo. Mfano wa vibao ni HAYUPO, AMELALA, KATOKA, YUPO, KAPUMZIKA, nk. RIP mzee Chilangi.
Jf bhana kwani keyboard warrior kibaoKwangu mtu akishaanza hizo mambo ( unanijua mimi nani) namtreat vibaya kuliko kawaida ili anioneshe yeye ni nani.
Tutajie mwingine aliyekufa kiajabu basi tukuelewe kwamba unawajuaHawa jamaa wanakufa vifo vya ajabu ajabu sana
mbona wengi tu hadi huku jf zinarushwaTutaj
Tutajie mwingine aliyekufa kiajabu basi tukuelewe kwamba unawajua
Karma haikwepeki ?Karma mkuu..! Nakitafakari kifo kwa mapana yake. Chanzo na viasili vyake
Ni lazima avae hiyo minguo ya kijani ?