Well, inategemea kwako inferior unaitafsiri vipi, lakini huwezi kuwa mbaguzi kama ukiwa masikini na huna power yoyote ile, na ndio maana Watanzania tunabaguliwa na Wahindi/Waarabu kwanza unaweza kusema mgeni yoyote anaweza kubagua Mtanzania ndani ya Tanzania lkn Mtanzania hana uwezo wa kubagua Muhindi/Mwarabu hata kama akitaka kwa maana Mtanzania hana power, hana economic muscle na ndo maana tumebaki kulia lia kubaguliwa na kila mtu kila mahali sasa hivi hata tunalilia na kung’ang’ania kukubalika Zanzibar …