TANZIA Lala Salama Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro

TANZIA Lala Salama Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro

This is a very low iq person

Linear thinking is some serious matter

Ndio na huo ndio ukweli wa Dunia, ukiona unabaguliwa ujue yule anayekubagua kwanza anakudharau na anakudharau kwa sababu anakuona ni inferior kwake na ndio maana hana respect kwako …
 
Ubaguzi Haungalii kama una Hai au Loo HIQ, Mambo mengine ni Kupenda Tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Ili uweze kubagua kwanza unahitaji power, huwezi kumbagua mtu ambaye kakuzidi kila kitu, ulishasikia Wahindi au Waarabu wa Watanzania wakilalamika kubaguliwa na sisi ingawaje sisi ndio wengi ? No, ila sisi ndio tunao lia kubaguliwa na Wahindi kila siku katika nchi yetu na sababu ni kwamba sisi ni dhaifu na hatuna power, hatumiliki njia kuu za kiuchumi, tunategemaea Wahindi/Waarabu wajenge Viwanda watuajiri, ulishawahi kuona Muhindi Tanzania anatufuta kazi kwetu? Lkn sisi tumejaa kwenye Viwanda vya Wahindi / Waarabu tukiomba kazi, …
 
Ndio na huo ndio ukweli wa Dunia, ukiona unabaguliwa ujue yule anayekubagua kwanza anakudharau na anakudharau kwa sababu anakuona ni inferior kwake na ndio maana hana respect kwako …
Actually hakuna mbaguzi Kama the inferior being

It is known
 
Actually hakuna mbaguzi Kama the inferior being

It is known

Well, inategemea kwako inferior unaitafsiri vipi, lakini huwezi kuwa mbaguzi kama ukiwa masikini na huna power yoyote ile, na ndio maana Watanzania tunabaguliwa na Wahindi/Waarabu kwanza unaweza kusema mgeni yoyote anaweza kubagua Mtanzania ndani ya Tanzania lkn Mtanzania hana uwezo wa kubagua Muhindi/Mwarabu hata kama akitaka kwa maana Mtanzania hana power, hana economic muscle na ndo maana tumebaki kulia lia kubaguliwa na kila mtu kila mahali sasa hivi hata tunalilia na kung’ang’ania kukubalika Zanzibar …
 
Naona perepete tu

Your points holds now water
 
Unabisha Nini? Unatoka Nyakatende then Nyasurura then Mugango. We was there Yesterday Kwenye Cemetery ya Mkakaro

Sent using Jamii Forums mobile app
wote wewe na jamaa mpo sahihi,Bunda mjini kuna sehemu inaitwa Nyansura,huenda na Musoma kuna hiyo Nyasusura
ila nikusahihishe kidogo kwenye Lugha yetu adhimu ya mabeberu mkiwa wengi basi unapaswa kutumia "were" badala ya "was" katika past tense na pia tukitaka kusema kaburi la fulani tunatumia neno "grave" au "tomb", cemetery its too general,na makaburini wanazikwa wengi,hapo umesema makaburi ya ...
 
Take it, jamaa kazidiwa kete na wazenji si unafahamu walivyo na majungu kwa watu wa bara. Tena kwa position aliyokuwepo makombora yalikuwa yanatupwa usiku kucha huwenda alijichanganya akanasa kwa kombora moja ndio maana akafutika.
Mtanzania mpe picha tu maelezo atatoa yeye 😀😀😀😀
 
Mwinyi hakukosa katika msiba wa mlinzi wake..

C607F8AA-C222-4815-8F44-7B20B71B393E.jpeg
 
Back
Top Bottom