TANZIA Lala Salama Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro

TANZIA Lala Salama Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro

Hata Mwezi Haujaishi Kagere Akaumwa Sana Mguu na Kichwa ikabidi arudishwe Kwao Musoma akapata Tiba Akarudi Zenji Kazini.
.
Baadaye akaanza Kuumwa Kichwa Na Ule Mguu ukavimba Ukawa Mkubwa, So jana Amefariki Sa10 Jioni Hospital ya Mzena-Mikocheni.[emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji15][emoji848]
.
De javu!
 
Mkakaro huyu huyu aliekuwa pale jumba jeupe au? Mimi nilimfahamu kwa jina la Charles Mkakaro au baba Glady, bado mdogo nini kimemkuta?

Sema jamaa alikua anapenda kutishia watu maisha, zile za unanijua mimi alikua nazo sana
Kifo kiboko yao alisema Dr Remmy
 
Utakua ulimaanisha familia ya mzee Mtaragala Chilangi wa pale Kamunyonge jirani na kikosi cha kutuliza ghasia (FFU).
Enzi za uhai wa mzee Chilangi ukipita kwake unakuta vibao mlangoni kulingana na mahali alipo kwa wakati huo. Mfano wa vibao ni HAYUPO, AMELALA, KATOKA, YUPO, KAPUMZIKA, nk. RIP mzee Chilangi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee Chilangi alikuwa noma balaa!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
nilikuwa namaanisha 'secret' mkuu na sio 'secrete'

nafahamu maana ya secrete (of a cell, gland, or organ) produce and discharge (a substance).

Sawa mkuu maana nimeona umerudia mara nyingi nikajua sasa hii sio typing error, nikaona nikuulize mkuu... huwezi jua vyeo vyao hivi vya ki TISS...
 
Utakua ulimaanisha familia ya mzee Mtaragala Chilangi wa pale Kamunyonge jirani na kikosi cha kutuliza ghasia (FFU).
Enzi za uhai wa mzee Chilangi ukipita kwake unakuta vibao mlangoni kulingana na mahali alipo kwa wakati huo. Mfano wa vibao ni HAYUPO, AMELALA, KATOKA, YUPO, KAPUMZIKA, nk. RIP mzee Chilangi.
Aseee
 
Uchawi wa zanzibar ni hatari hawa kiboko yao ni kuwafungia safari ya congo unaenda kuzikwa siku tatu ukifukuliwa kutoka kaburini uchawi wao ni punje tu na yoyote atakayejitia kiherere anaenda kubusu miguu ya shetani kuzima.
Na znz wanasema uchawi wa bara ndio kiboko .... Kigoma ... Unatembea kumbe ulishakufa zamani.. .
 
Jamaaani, nini kimemkuta Charles? Watoto wake bado wadogo

Namkumbuka mwanae July, Glady used to be my best friend before i got married halafu tukapoteana,wakati huo alikua akitoka dodoma anafikia kwangu
Si mleta uzi amesema ,jamaa amekuwa akiumwa

Ova
 
hsp ya mzena…

itabidi siku moja nikafanye matembezi,
 
Hii kitu ya kichwa kuuma, mguu kuvimba, na ugonjwa kutojulikana hii, mbona imekaa kisiasa sana. Inatokea sana sikuhizi kwa watu wa system, nilishangaa kuona na yule mchezaji.
 
Back
Top Bottom