TANZIA Lala Salama Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro

TANZIA Lala Salama Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro

Mkakaro huyu huyu aliekuwa pale jumba jeupe au? Mimi nilimfahamu kwa jina la Charles Mkakaro au baba Glady, bado mdogo nini kimemkuta?

Sema jamaa alikua anapenda kutishia watu maisha, zile za unanijua mimi alikua nazo sana
Kama ndivyo wacha afe tu..!
 
Take it, jamaa kazidiwa kete na wazenji si unafahamu walivyo na majungu kwa watu wa bara. Tena kwa position aliyokuwepo makombora yalikuwa yanatupwa usiku kucha huwenda alijichanganya akanasa kwa kombora moja ndio maana akafutika.
Kama ni hivyo namuonea huruma sana Charles Hillary, angebaki tu Azam.
 
na pia anatakiwa afahamu kuna public security officers na pia kuna secrete security officer.
public security officers wanajulikana na jamii hawa mfano ni walinzi wa viongozi na watendaji wengine wa tiss kama ma DSOs ,RSOs na DG wa TISS ma secret security officer hawa hawajulikani na hawatakiwi kujulikana
Correction: Hakuna mtu asiejulikana Duniani. Hao secret security officer wanajulikana sema hawajulikani kwa watu wote ila wanajulikana.

Informers, intelligence officers qote wanajulikana ila sio kwa public, kwa very few circle of people.

Kutokujulikana Duniani ni kitu ambacho hakiishi.
 
Hapa ndo nagundua kwamba kwann hatuendelei Kama taifa hata idara nyeti raslimali watu wake hawaamini ktk science ya utabibu ........kituko Sana
Inasikitisha sana mkuu.

Watanzania wengi bado wanaamini ushirikia, uchawi, ulozi nk. Hayo mambo hayapo mahala popote Duniani ila bado yana nafasi kubwa kwenye mioyo ya watu hasa Tanzania.
 
Wanajulikana na mabosi zao sio raia.
Na hata ukimshtukia hawezi kukubali.
Correction: Hakuna mtu asiejulikana Duniani. Hao secret security officer wanajulikana sema hawajulikani kwa watu wote ila wanajulikana.

Informers, intelligence officers qote wanajulikana ila sio kwa public, kwa very few circle of people.

Kutokujulikana Duniani ni kitu ambacho hakiishi.
 
Inasikitisha sana mkuu.

Watanzania wengi bado wanaamini ushirikia, uchawi, ulozi nk. Hayo mambo hayapo mahala popote Duniani ila bado yana nafasi kubwa kwenye mioyo ya watu hasa Tanzania.
Ndg yangu usisikie Mtu kuumwa alafu anakwenda Hospital anafanyiwa vipimo vyote,alafu anaambiwa mbona hakuna kitu, mbona utaangaika sana,hata ukiiambiwa twende tukanywe kikombe kwa Babu utakwenda tu!!
 
Back
Top Bottom