Warumi 8Madhehebu mengi hasa haya ya Katoliki, Anglican na Lutheran hayataki wokovu, yaani hayataki maombi, ukifanya maombi yanataka sheria zao kama litrugia, unatengwa na kanisa ukifanya hayo na hii ndio sababu wahubiri wengi wameamua kuacha Madhehebu na kuanzisha makanisa yao...
Kumtafuta na kumfuata YESU ni lazima ujikane mwenyewe, ndio maana kwenye Mathayo 16.24 YESU anawaambia wanafunzi wake mtu yeyote anayetaka kunifuata na ajikane yeye mwenyewe...Lala salama fr nkwera,,,
umenikumbusha wamama wa maghorofa ya jeshi na custom pamoja na mwenge kijijini walivyokuwa wakienda kuchongea wenzao waliokuwa wakienda kwa fr nkwera.
Nakumbuka mama mmoja namhifadhi alienda parokia ya Maximilian kolbe mwenge kwenda kutoa taarifa ya kwamba katokewa na bikira maria akiwa anasali rosali paroko wa wakati huo fr Babu alimtimua!!!!!!! Sasa wakati huo fr nkwera alikuwa alienda kusali hapo huku akiwa katengwa na kanisa
Fr nkwera Alimchukua huyo mama na kuwa mmoja wapo ambao waliokuwa Wana maombi na waliifanya hiyo kazi vizuri.
Kilichokuwa kikiniumiza ni wakatoliki wa wakati huo waliipenda huduma yake lakini iliwapasa waende kwa Siri kuogopa kutengwa na kanisa
Na wakati huo wale wanoko walikuwa wanakagua wakati wa kwenda kupokea ekaristi takatifu kuhakikisha wafuasi wa fr nkwera hawapokei ekaristi takatifu.
Lala salama fr nkwera,,,

Ni kweliKumtafuta na kumfuata YESU ni lazima ujikane mwenyewe, ndio maana kwenye Mathayo 16.24 YESU anawaambia wanafunzi wake mtu yeyote anayetaka kunifuata na ajikane yeye mwenyewe...
Safari ya kutaka kumfuata YESU sio rahisi utakataliwa, utatengwa...
Hivyo inahitajika IMANI isiyoyumbishwa
Huku makanisani ni unafiki mtupu..Makanisani kumejaa makristo wa uongo na manabii wa uongo.
Hebu jiulize hao waliokuwa wanampinga na kupeleka habari na mashtaka ni wakristo au ni wapingaKristo?
Yesu Kristo mwenyewe alitukataza kuwapinga wenzetu
Marko 9
38 Yohana akamjibu, akamwambia, Mwalimu, tulimwona mtu akitoa pepo kwa jina lako, ambaye hafuatani nasi; tukamkataza, kwa sababu hafuatani nasi.
39 Yesu akasema, Msimkataze, kwa kuwa hakuna mtu atakayefanya mwujiza kwa jina langu akaweza mara kuninenea mabaya;
40 kwa sababu asiye kinyume chetu, yu upande wetu.
Huku makanisani ni unafiki mtupu..
Asante kwa maneno yenye chakula cha kiroho.Linda sana moyo wako, soma neno ulielewe utamsikia na kumwona Mungu.
Na umtafute Mungu na kushika sheria yake kwa moyo wako wote.
Usiabudu dini, kiongozi wa dini wala jengo linaloitwa kanisa.
Jitafute wewe mwenyewe kama kanisa la Mungu , mwamini Mungu na uwe mwaminifu kwake. Hutajuta!
Alilumbana sana na Kanisa Katoli miaka hiyo. Ila anao wafuasi wake wengi tu.
Rest Well, Padre Mkwera.
Sasa, je, kanisa litamzika?
RIP padre.Pumzika kwa amani baba padre,
Mama D, na mnaojua naombeni kufahamu sehemu inaitwa Emmaus center ubungo, kuna huduma za kiroho kama zipi na zinatolewa lini ma lini ? Anaejua anijibu plz π
Cc wakatumeni BICHWA KOMWE - na mwenza wake secretarybird
Mseminary mwenzio
Kabisa mkuuMseminary mwenzio
He was my classmate trust me...π
Hahaha.He was my classmate trust me...π
R.i.P Classmate...π₯
Alikuwa mshirikinaIna maana kanisa lilikuwa against uponyaji?
Je lilinufaika na nini kwa waumini kuishi katika mateso?