Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Ameeeeeeeeeeen! Mungu anakwenda kuipa Tanzania Rais mpya na Chama kipya hapo tarehe 28 Okt,2020!Tupo pamoja mkuu// maisha yamekuwa magumu,biashara ngumu , mifumo ya kodi siyo rafiki,mauaji tu kila kona /// twende na Lissu
Ameeeeeeeeeeen! Mungu anakwenda kuipa Tanzania Rais mpya na Chama kipya hapo tarehe 28 Okt,2020!
Amen. Magufuli alifikiri kwa miaka 5 AMEUA UPINZANI kwa kuzuia mikutano ya Wapinzani nje/ndani, Uhuru wa kutoa mawazo, kukosoa na maandamano..... !!Tupo pamoja mkuu// maisha yamekuwa magumu,biashara ngumu , mifumo ya kodi siyo rafiki,mauaji tu kila kona /// twende na Lissu
Amen. Magufuli alifikiri kwa miaka 5 AMEUA UPINZANI kwa kuzuia mikutano ya Wapinzani nje/ndani, Uhuru wa kutoa mawazo, kukosoa na maandamano..... !!
Bila ya kusahau Biashara ya kununua Wabunge na Madiwani wa CHADEMA.....Kumbe yote haya ilikuwa ni KUIMARISHA UPINZANI HASA CHADEMA[emoji16][emoji16]
Hawajui sababu ya msingi ya kupiga marufuku siasa na kufanya biashara ya utumwa ni hii.Hapa tu mnanishangaza.... Utaskia kma mafuriko hata lowassa alikua nayo, kama kudekiwa hata lowassa. Hivi nikuulize, wewe una amini kabisa lowassa aliangushwa na JPM tena kwa gap ya kura million 2?
Funny and weird