Uchaguzi 2020 Lamadi: Wananchi wafunga barabara na kumtaka Tundu Lissu asipite bila kuzungumza chochote

Uchaguzi 2020 Lamadi: Wananchi wafunga barabara na kumtaka Tundu Lissu asipite bila kuzungumza chochote

Tupo pamoja mkuu// maisha yamekuwa magumu,biashara ngumu , mifumo ya kodi siyo rafiki,mauaji tu kila kona /// twende na Lissu
Amen. Magufuli alifikiri kwa miaka 5 AMEUA UPINZANI kwa kuzuia mikutano ya Wapinzani nje/ndani, Uhuru wa kutoa mawazo, kukosoa na maandamano..... !!
Bila ya kusahau Biashara ya kununua Wabunge na Madiwani wa CHADEMA.....Kumbe yote haya ilikuwa ni KUIMARISHA UPINZANI HASA CHADEMA😁😁
 
Jana Shekhe Ponda kasema mbele ya mkutano Dodoma kuwa Waislam watampigia kura Lissu,naona Jiwe anaenda kuzitapika zile hela za rambirambi tetemeko Tabora, na kuna kila dalili za CCM kulipa bei ya uovu walioufanya kwa miaka 5
Amen. Magufuli alifikiri kwa miaka 5 AMEUA UPINZANI kwa kuzuia mikutano ya Wapinzani nje/ndani, Uhuru wa kutoa mawazo, kukosoa na maandamano..... !!
Bila ya kusahau Biashara ya kununua Wabunge na Madiwani wa CHADEMA.....Kumbe yote haya ilikuwa ni KUIMARISHA UPINZANI HASA CHADEMA[emoji16][emoji16]
 
Hapa tu mnanishangaza.... Utaskia kma mafuriko hata lowassa alikua nayo, kama kudekiwa hata lowassa. Hivi nikuulize, wewe una amini kabisa lowassa aliangushwa na JPM tena kwa gap ya kura million 2?
Funny and weird
Hawajui sababu ya msingi ya kupiga marufuku siasa na kufanya biashara ya utumwa ni hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom