Uchaguzi 2020 Lamadi: Wananchi wafunga barabara na kumtaka Tundu Lissu asipite bila kuzungumza chochote

Aliangushwa vibaya
Aliangushwa vibaya
Embu siku uende Lumumba pale mvute kada yeyote alafu akupe elimu. Inaonekana wewe ni wale washabiki tu wamitandaoni ila hujui kinachoendelea.

Nikueleze tu mimi binafsi hapa nmeingia vikao vingi sana UVCCM ngazi ya kata na jimbo wao wakidhani mwenzao kuna upuuzi mwingi sana unafanyika kuleta ushindi nje ya box la kura.

Nakumbuka serikali za mitaa kila kituo tulipeleka majina 100 yasajiliwe na wale wajumbe wa vyama tuliwapooza kwa pesa. Yule msimamizi alipigwa biti tu akawa mpole. Then baadae tukasikia uandikishaji umevuka lengo!!

Kama unashabikia mitandaoni tu huwezi ukaelewa figisu figisu za CCM mpaka uingie field.
 
Mwenyezi Mungu azidi kumlinda na kumuongoza vyema Mh Tundu Lissu kukifikia kiti cha uRais..
 
Umeongea ukweli sana mdogo wangu.
Sina cha kuongeza.
 

Wa mwisho atakuwa wa KWANZA
 
https://www.facebook.com/
 
Heri yako unayejitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…