Ngigana
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 2,106
- 1,443
Katavi, upo mheshimiwa! Huonekani jamvini.Ratiba yake ya dar ni lini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katavi, upo mheshimiwa! Huonekani jamvini.Ratiba yake ya dar ni lini??
Bariadi:Wanyantuzu wamtosa Magufuli🤣🤣🤣
Aliangushwa vibaya
Embu siku uende Lumumba pale mvute kada yeyote alafu akupe elimu. Inaonekana wewe ni wale washabiki tu wamitandaoni ila hujui kinachoendelea.Aliangushwa vibaya
Kasema hashauriwi yeye au umesahau?
Afu tunasema hana washauri wazuri, kumbe washauri hawana kazi zaidi ya kula hela za umma huku bwana mkubwa akijiamulia atakavyo yeye tu.Na tena alisema mkimshauri ndio mnaharibu kabisa
Umeongea ukweli sana mdogo wangu.Magufuri angekuwa Kati ya marais bora walio tawala Tanzania nazani alikosa washauri wazuri
Akafuata ushauri wa akina makonda na wengine wajinga wajinga kama kina gambo chalamila hapi muro sabaya hawa wamemuhalibia sana magufuri na yeye alifanya kosa kubwa kuwaacha
Tatu walipo anza watu wasio julikana hapa ndio nikakichikia kabisa ccm pamoja na rais hata kufanya uchunguzi wa kinafiki akaa kimya
Kiukweli siwezi kuchangua ccm tena naenda na lisu
Ccm ya Leo vijana haitusamini kabisa watu wapo mtaani tu ajira hakuuna ila watoto wao wanapewa ajira ila si wa huku mgombe vijijini tujiajili jamani
Naongea kwa uchungu sana ila ccm tutawafurahisha safari hii mtaiba hadi mtashindwa tu tutapiga kula za kimbunga haijawahi tokea
Magufuri angekuwa Kati ya marais bora walio tawala Tanzania nazani alikosa washauri wazuri

Magufuli na ccm wanatamani haya angekuwa anafanyiwa yeye. Anashangaa mtu ambaye hajajenga hata kisima kimoja cha maji anafurahiwa sana hivi. Dhambi ni mbaya sana. Zinakutenga na upendo wa Mungu.
Mungu ni muweza wa yote huyu mtu aliyerudi toka mbingu za kuzimu alirudishwa kwa sababu si bure
Kila mtu aanzie nyumbani kwa ndugu na jamaa. Mimi tayari nimeshatia ushawishi wangu na kazi naimaliza.Tuhamasishane twende na Lissu
Kila mtu aanzie nyumbani kwa ndugu na jamaa. Mimi tayari nimeshatia ushawishi wangu na kazi naimaliza.
Nipo sana aisee, nadhani tunapishana tu.Katavi, upo mheshimiwa! Huonekani jamvini.