Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Huyo wifi akoo ni mmeru?Lamama kokote ulipo ntakuita njooooo
Wewe jamaa na wanawake wa Meru ni kama Mpwayungu Village na Waalimu🤣🤣🤣Huyo wifi akoo ni mmeru?
Naona NI mmeruHuyo wifi akoo ni mmeru?
UweeAnakutafta wewe
Ana dang dang😂😂😂😂😂😂😂😂
Mpaka kakubali kurekodiwa😂😂😂Lamama kamuumiza mwamba
Akyanani watu wa Arusha NomaNi mlaku wa kipindi🤣
Atauzishwa kipindi we muachie tuWewe jamaa na wanawake wa Meru ni kama Mpwayungu Village na Waalimu🤣🤣🤣
Kipindi ni mizagamuano🤣Akyanani watu wa Arusha Noma
Kipindi sijui ndio nini sasa😂😂😂
Mizagamuano ndio nini tenaaa?!Kipindi ni mizagamuano🤣
Michezo ya kusaka watoto 🤣Mizagamuano ndio nini tenaaa?!
Nimecheka sanaKama kengeruu😄😄