Hiyo Darasa la pili yake ndio imemfanya amiliki NYANZA CONSTRUCTION LTD ambayo imeajiri mpaka PHD Holders, na makampuni kibao yaliyo chini ya LAKAIRO GROUP. Ww endelea na phd yako ulipwe laki 5 lumumba.Huyu aliishia darasa la pili kasi ya uchumi wa kati hataiweza!
Nyanza si ilikuwa ya MhindiHiyo Darasa la pili yake ndio imemfanya amiliki NYANZA CONSTRUCTION LTD ambayo imeajiri mpaka PHD Holders, na makampuni kibao yaliyo chini ya LAKAIRO GROUP. Ww endelea na phd yako ulipwe laki 5 lumumba.
Sasa hivi ni ya kwake na makampun yote yaliyochn ya lakairo group ikkiwemo na lakairo hotel ya kirumba.Nyanza si ilikuwa ya Mhindi
Sasa hivi ni ya kwake na makampun yote yaliyochn ya lakairo group ikkiwemo na lakairo hotel ya kirumba.
Kaba hela sana ata kabla ya kuingia kwenye politics na 2010 alitaka kupga chn bt ccm walimwomba waliona wangepoteza jmbo coz jamaa ana hela na MAFIA hatar barabara za jimbon anapelekaga grader zake za nyanza road kuchonga jimbon.
Ni kweli ajasoma ila ndio wanaoendesha uchumi wa kati..Nenda kwa wakinga kawaulize shule utatafuta but kaulize pesa uone kama ujaonyeshwa pesa za kujenga ata ghorofa 20.
Elimu haina ishu tena ndio maana maprof . wanakimbia kufundsha wanaenda kugombea ubunge.
Walioikataa PESA primary kwenye DEBATE wakachagua ELIMU NI BORA KULIKO PESA sasa wanakiona na pesa nayo imewakataa.. utakuta wengine wanasema ni Freemasons kama unajua znapopatkana c uende ukachukue maan kama dhambi wote sawa tajr kaingia huko na wewe mskn unaZINI wote moto.Ni haki yake wakati wengine wako shule ye yupo mtaani anasaka pesa kwa vitendo.Alianza kwa kuuza soda kwenye mabus kijijini kwao.
Pesa haina formula, unaweza ukasoma ukaipata au usisome na ukaipata,ukamaliza waganga ukaipata au usiipateWalioikataa PESA primary kwenye DEBATE wakachagua ELIMU NI BORA KULIKO PESA sasa wanakiona na pesa nayo imewakataa.. utakuta wengine wanasema ni Freemasons kama unajua znapopatkana c uende ukachukue maan kama dhambi wote sawa tajr kaingia huko na wewe mskn unaZINI wote moto...
Ni kweli Airo na mkewe wote hawana shule. Ni pesa tu zilimfikisha hapo.Propaganda!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata hivyo CCM inautajiri wa viongozi. Huyu si abadilishiwe jimbo aende akakipigania chama cha mapinduzi?
View attachment 1510552
Je umewahi kutuhumiwa na Takukuru?Mfano?
Shule syo kila kituNi kweli Airo na mkewe wote hawana shule. Ni pesa tu zilimfikisha hapo.
Hii Nyanza Construction Ltd ya La Kairo ni Co. tofauti na Nyanza Road Works ltd Ya kina Subash Patel?Hiyo Darasa la pili yake ndio imemfanya amiliki NYANZA CONSTRUCTION LTD ambayo imeajiri mpaka PHD Holders, na makampuni kibao yaliyo chini ya LAKAIRO GROUP. Ww endelea na phd yako ulipwe laki 5 lumumba.
'Je umewahi kutuhumiwa kukwepa kodi?Je umewahi kutuhumiwa na Takukuru?
Je umewahi kutuhumiwa kukwepa kodi?
Je umewahi kutuhumiwa kwa biashara ya dawa za kulevya?
Je umewahi kutuhumiwa kufanya biashara ya nyara za taifa?
Tuhuma tu tunakutupa
Ndio hyo hyo corner ya Bwiru HQ hapo ni jna tu kwenye uandshHii Nyanza Construction Ltd ya La Kairo ni Co. tofauti na Nyanza Road Works ltd Ya kina Subash Patel?
Hapana hii Nyanza Road Works ltd ni ya Subash Patel na haijauzwa na wala La Kairo hana uwezo wa kuinunua hio Co.Ndio hyo hyo corner ya Bwiru HQ hapo ni jna tu kwenye uandsh
Co. Ya La Kairo inaitwa NICE CONSTRUCTION.Ndio hyo hyo corner ya Bwiru HQ hapo ni jna tu kwenye uandsh
Samaki (Sangara) wa Ziwa Victoria ndio waliwatoa wakiwa bado vijana, akiwa na wenzake Obeto, Okumu, Ongujo na wengineo. Ni mpambanaji toka kitambo sana na very humble. Kijana wa kutoka kijiji cha Utegi-Rorya.Ni haki yake wakati wengine wako shule ye yupo mtaani anasaka pesa kwa vitendo.Alianza kwa kuuza soda kwenye mabus kijijini kwao.
Bora apumzike tu maana kuonekana bungeni akiwasemea wananchi wake vikao vidogo haonekani kabisaa bejeti ataoneka akipiga kura basi yeye na mambo yake.View attachment 1510530
Mbunge huyo anayemaliza muda wake ameamua kujitoa mara tu baada ya kurejesha fomu.
Haikutolewa sababu yoyote ya uamuzi huo mzito.
Chanzo: Watetezi TV
Hela zake za Kafara huyo mjaluo...aliua watoto kwenye shule yake ndo hela zikaja kwa kasi.Sasa hivi ni ya kwake na makampun yote yaliyochn ya lakairo group ikkiwemo na lakairo hotel ya kirumba.
Kaba hela sana ata kabla ya kuingia kwenye politics na 2010 alitaka kupga chn bt ccm walimwomba waliona wangepoteza jmbo coz jamaa ana hela na MAFIA hatar barabara za jimbon anapelekaga grader zake za nyanza road kuchonga jimbon.
Ni kweli ajasoma ila ndio wanaoendesha uchumi wa kati Nenda kwa wakinga kawaulize shule utatafuta but kaulize pesa uone kama ujaonyeshwa pesa za kujenga ata ghorofa 20.
Elimu haina ishu tena ndio maana maprof . wanakimbia kufundsha wanaenda kugombea ubunge