Uchaguzi 2020 Lameck Airo ajiondoa kugombea Ubunge Rorya

Uchaguzi 2020 Lameck Airo ajiondoa kugombea Ubunge Rorya

Nyanza si ilikuwa ya Mhindi
Sasa hivi ni ya kwake na makampun yote yaliyochn ya lakairo group ikkiwemo na lakairo hotel ya kirumba.

Kaba hela sana ata kabla ya kuingia kwenye politics na 2010 alitaka kupga chn bt ccm walimwomba waliona wangepoteza jmbo coz jamaa ana hela na MAFIA hatar barabara za jimbon anapelekaga grader zake za nyanza road kuchonga jimbon.

Ni kweli ajasoma ila ndio wanaoendesha uchumi wa kati Nenda kwa wakinga kawaulize shule utatafuta but kaulize pesa uone kama ujaonyeshwa pesa za kujenga ata ghorofa 20.

Elimu haina ishu tena ndio maana maprof . wanakimbia kufundsha wanaenda kugombea ubunge
 
Ni kweli ajasoma ila ndio wanaoendesha uchumi wa kati..Nenda kwa wakinga kawaulize shule utatafuta but kaulize pesa uone kama ujaonyeshwa pesa za kujenga ata ghorofa 20.

Elimu haina ishu tena ndio maana maprof . wanakimbia kufundsha wanaenda kugombea ubunge.

Ni haki yake wakati wengine wako shule ye yupo mtaani anasaka pesa kwa vitendo.Alianza kwa kuuza soda kwenye mabus kijijini kwao.
 
Ni haki yake wakati wengine wako shule ye yupo mtaani anasaka pesa kwa vitendo.Alianza kwa kuuza soda kwenye mabus kijijini kwao.
Walioikataa PESA primary kwenye DEBATE wakachagua ELIMU NI BORA KULIKO PESA sasa wanakiona na pesa nayo imewakataa.. utakuta wengine wanasema ni Freemasons kama unajua znapopatkana c uende ukachukue maan kama dhambi wote sawa tajr kaingia huko na wewe mskn unaZINI wote moto.
 
Walioikataa PESA primary kwenye DEBATE wakachagua ELIMU NI BORA KULIKO PESA sasa wanakiona na pesa nayo imewakataa.. utakuta wengine wanasema ni Freemasons kama unajua znapopatkana c uende ukachukue maan kama dhambi wote sawa tajr kaingia huko na wewe mskn unaZINI wote moto...
Pesa haina formula, unaweza ukasoma ukaipata au usisome na ukaipata,ukamaliza waganga ukaipata au usiipate
 
Siri kubwa kwenye Jimbo la Rorya Ni kwamba asingechaguliwa
 
Je umewahi kutuhumiwa na Takukuru?
Je umewahi kutuhumiwa kukwepa kodi?
Je umewahi kutuhumiwa kwa biashara ya dawa za kulevya?
Je umewahi kutuhumiwa kufanya biashara ya nyara za taifa?
Tuhuma tu tunakutupa
 
Hiyo Darasa la pili yake ndio imemfanya amiliki NYANZA CONSTRUCTION LTD ambayo imeajiri mpaka PHD Holders, na makampuni kibao yaliyo chini ya LAKAIRO GROUP. Ww endelea na phd yako ulipwe laki 5 lumumba.
Hii Nyanza Construction Ltd ya La Kairo ni Co. tofauti na Nyanza Road Works ltd Ya kina Subash Patel?
 
Je umewahi kutuhumiwa na Takukuru?
Je umewahi kutuhumiwa kukwepa kodi?
Je umewahi kutuhumiwa kwa biashara ya dawa za kulevya?
Je umewahi kutuhumiwa kufanya biashara ya nyara za taifa?
Tuhuma tu tunakutupa
'Je umewahi kutuhumiwa kukwepa kodi?

Tunasubiri kwa bashite tuone,alishatuhumiwa na Dr. Mpango,Magu na Tra wenyewe kwa kukwepa kodi kwny makontena ta Furniture.
 
Ndio hyo hyo corner ya Bwiru HQ hapo ni jna tu kwenye uandsh
Hapana hii Nyanza Road Works ltd ni ya Subash Patel na haijauzwa na wala La Kairo hana uwezo wa kuinunua hio Co.

La Kairo ni amatuer sana yaani sana kwny field ya ukandarasi namuonaga na machines zake chache barabarani lkn sio kwa level za kina Patel.
 
Ni haki yake wakati wengine wako shule ye yupo mtaani anasaka pesa kwa vitendo.Alianza kwa kuuza soda kwenye mabus kijijini kwao.
Samaki (Sangara) wa Ziwa Victoria ndio waliwatoa wakiwa bado vijana, akiwa na wenzake Obeto, Okumu, Ongujo na wengineo. Ni mpambanaji toka kitambo sana na very humble. Kijana wa kutoka kijiji cha Utegi-Rorya.
 
View attachment 1510530

Mbunge huyo anayemaliza muda wake ameamua kujitoa mara tu baada ya kurejesha fomu.

Haikutolewa sababu yoyote ya uamuzi huo mzito.

Chanzo: Watetezi TV
Bora apumzike tu maana kuonekana bungeni akiwasemea wananchi wake vikao vidogo haonekani kabisaa bejeti ataoneka akipiga kura basi yeye na mambo yake.
 
Sasa hivi ni ya kwake na makampun yote yaliyochn ya lakairo group ikkiwemo na lakairo hotel ya kirumba.

Kaba hela sana ata kabla ya kuingia kwenye politics na 2010 alitaka kupga chn bt ccm walimwomba waliona wangepoteza jmbo coz jamaa ana hela na MAFIA hatar barabara za jimbon anapelekaga grader zake za nyanza road kuchonga jimbon.

Ni kweli ajasoma ila ndio wanaoendesha uchumi wa kati Nenda kwa wakinga kawaulize shule utatafuta but kaulize pesa uone kama ujaonyeshwa pesa za kujenga ata ghorofa 20.

Elimu haina ishu tena ndio maana maprof . wanakimbia kufundsha wanaenda kugombea ubunge
Hela zake za Kafara huyo mjaluo...aliua watoto kwenye shule yake ndo hela zikaja kwa kasi.
 
Back
Top Bottom