Uchaguzi 2020 Lameck Airo ajiondoa kugombea Ubunge Rorya

Angekuwa na nia ya kupumzika, asingetia nia. Huenda keshanusa mchezo mchafu.
Unaonaje kama tukisema kama kaona kale kamchezo kao ka zamani kamekwisha kama sasa kuna usawa? Nasema tu mzee wa kupinga kila kitu cha ccm
 
Huyu jamaa yawezekana ana akili ya Maendeleo yake binafsi ila hana msaada wa maana kwa Rorya zaidi ya kugonga meza.
 
Hao wakinga waulize " wazaliwa" wao wa kwanza( watoto) wako wapi?

Usione vyaelea bwashee...... Hata wewe ukitaka utajiri wa darasa la chekechea kama Jah people nenda kwa Mwakipande makete utaupata ila uwe na ujasiri wa kutotokwa machozi!
 
Shule syo kila kitu
Kuna watu Wana shule kutunza fedha hawajui, wala kuwa na miradi
Maisha hayana formula bob

Ova
Hakuna mahali nimesema shule ndio kila kitu. Usinilishe maneno yako. Ila kiongozi mbunge ni vema akawa na shule.....wewe unazumgumzia kutunza fedha. Mimi mimesema fedha zimemfikisha hapo. Nielewe tafadhali.
 
Hakuna mahali nimesema shule ndio kila kitu. Usinilishe maneno yako. Ila kiongozi mbunge ni vema akawa na shule.....wewe unazumgumzia kutunza fedha. Mimi mimesema fedha zimemfikisha hapo. Nielewe tafadhali.
Basi yaishe, naona unataka kurusha ngumi

Ova
 
Je umewahi kutuhumiwa na Takukuru?
Je umewahi kutuhumiwa kukwepa kodi?
Je umewahi kutuhumiwa kwa biashara ya dawa za kulevya?
Je umewahi kutuhumiwa kufanya biashara ya nyara za taifa?
Tuhuma tu tunakutupa
Asimia 65 ya wabunge wa CCM waliomaliza muda wao hawachomoki kwa maswali hayo,kama haki ikitendeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…