Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,012
- 2,637
Kwani vigezo vya kugombea vinahitaji aliyemaliza darasa la ngapi?Huyu aliishia darasa la pili, kasi ya uchumi wa kati hataiweza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani vigezo vya kugombea vinahitaji aliyemaliza darasa la ngapi?Huyu aliishia darasa la pili, kasi ya uchumi wa kati hataiweza!
Unaonaje kama tukisema kama kaona kale kamchezo kao ka zamani kamekwisha kama sasa kuna usawa? Nasema tu mzee wa kupinga kila kitu cha ccmAngekuwa na nia ya kupumzika, asingetia nia. Huenda keshanusa mchezo mchafu.
Hao wakinga waulize " wazaliwa" wao wa kwanza( watoto) wako wapi?Sasa hivi ni ya kwake na makampun yote yaliyochn ya lakairo group ikkiwemo na lakairo hotel ya kirumba.
Kaba hela sana ata kabla ya kuingia kwenye politics na 2010 alitaka kupga chn bt ccm walimwomba waliona wangepoteza jmbo coz jamaa ana hela na MAFIA hatar barabara za jimbon anapelekaga grader zake za nyanza road kuchonga jimbon.
Ni kweli ajasoma ila ndio wanaoendesha uchumi wa kati Nenda kwa wakinga kawaulize shule utatafuta but kaulize pesa uone kama ujaonyeshwa pesa za kujenga ata ghorofa 20.
Elimu haina ishu tena ndio maana maprof . wanakimbia kufundsha wanaenda kugombea ubunge
Unaongelea CCM ipi? Hii ambayo wagombea wanashindana kutoa kitu au nyingine?Unaonaje kama tukisema kama kaona kale kamchezo kao ka zamani kamekwisha kama sasa kuna usawa? Nasema tu mzee wa kupinga kila kitu cha ccm
Hakuna mahali nimesema shule ndio kila kitu. Usinilishe maneno yako. Ila kiongozi mbunge ni vema akawa na shule.....wewe unazumgumzia kutunza fedha. Mimi mimesema fedha zimemfikisha hapo. Nielewe tafadhali.Shule syo kila kitu
Kuna watu Wana shule kutunza fedha hawajui, wala kuwa na miradi
Maisha hayana formula bob
Ova
Basi yaishe, naona unataka kurusha ngumiHakuna mahali nimesema shule ndio kila kitu. Usinilishe maneno yako. Ila kiongozi mbunge ni vema akawa na shule.....wewe unazumgumzia kutunza fedha. Mimi mimesema fedha zimemfikisha hapo. Nielewe tafadhali.
Asimia 65 ya wabunge wa CCM waliomaliza muda wao hawachomoki kwa maswali hayo,kama haki ikitendeka.Je umewahi kutuhumiwa na Takukuru?
Je umewahi kutuhumiwa kukwepa kodi?
Je umewahi kutuhumiwa kwa biashara ya dawa za kulevya?
Je umewahi kutuhumiwa kufanya biashara ya nyara za taifa?
Tuhuma tu tunakutupa
View attachment 1510530
Mbunge huyo anayemaliza muda wake ameamua kujitoa mara tu baada ya kurejesha fomu.
Haikutolewa sababu yoyote ya uamuzi huo mzito.
Chanzo: Watetezi TV
Wenje huyu aliyeuza jimbo la nyamagana kwa bei chee kisha akasingizia kapigwa makofi na Lodilofa?Erythrocyte,
Anajua Moto wa ezekia wenje sio wa kitoto
Na wewe ua kwann uteseke wakat moto inatusbir wote kama utoi kafara unazini, unatukana.Hela zake za Kafara huyo mjaluo...aliua watoto kwenye shule yake ndo hela zikaja kwa kasi.
Lakin ana hela chafuHuyu aliishia darasa la pili, kasi ya uchumi wa kati hataiweza!