Uchaguzi 2020 Lameck Airo ajiondoa kugombea Ubunge Rorya

Uchaguzi 2020 Lameck Airo ajiondoa kugombea Ubunge Rorya

Angekuwa na nia ya kupumzika, asingetia nia. Huenda keshanusa mchezo mchafu.
Unaonaje kama tukisema kama kaona kale kamchezo kao ka zamani kamekwisha kama sasa kuna usawa? Nasema tu mzee wa kupinga kila kitu cha ccm
 
Huyu jamaa yawezekana ana akili ya Maendeleo yake binafsi ila hana msaada wa maana kwa Rorya zaidi ya kugonga meza.
 
Sasa hivi ni ya kwake na makampun yote yaliyochn ya lakairo group ikkiwemo na lakairo hotel ya kirumba.

Kaba hela sana ata kabla ya kuingia kwenye politics na 2010 alitaka kupga chn bt ccm walimwomba waliona wangepoteza jmbo coz jamaa ana hela na MAFIA hatar barabara za jimbon anapelekaga grader zake za nyanza road kuchonga jimbon.

Ni kweli ajasoma ila ndio wanaoendesha uchumi wa kati Nenda kwa wakinga kawaulize shule utatafuta but kaulize pesa uone kama ujaonyeshwa pesa za kujenga ata ghorofa 20.

Elimu haina ishu tena ndio maana maprof . wanakimbia kufundsha wanaenda kugombea ubunge
Hao wakinga waulize " wazaliwa" wao wa kwanza( watoto) wako wapi?

Usione vyaelea bwashee...... Hata wewe ukitaka utajiri wa darasa la chekechea kama Jah people nenda kwa Mwakipande makete utaupata ila uwe na ujasiri wa kutotokwa machozi!
 
Shule syo kila kitu
Kuna watu Wana shule kutunza fedha hawajui, wala kuwa na miradi
Maisha hayana formula bob

Ova
Hakuna mahali nimesema shule ndio kila kitu. Usinilishe maneno yako. Ila kiongozi mbunge ni vema akawa na shule.....wewe unazumgumzia kutunza fedha. Mimi mimesema fedha zimemfikisha hapo. Nielewe tafadhali.
 
Hakuna mahali nimesema shule ndio kila kitu. Usinilishe maneno yako. Ila kiongozi mbunge ni vema akawa na shule.....wewe unazumgumzia kutunza fedha. Mimi mimesema fedha zimemfikisha hapo. Nielewe tafadhali.
Basi yaishe, naona unataka kurusha ngumi

Ova
 
Je umewahi kutuhumiwa na Takukuru?
Je umewahi kutuhumiwa kukwepa kodi?
Je umewahi kutuhumiwa kwa biashara ya dawa za kulevya?
Je umewahi kutuhumiwa kufanya biashara ya nyara za taifa?
Tuhuma tu tunakutupa
Asimia 65 ya wabunge wa CCM waliomaliza muda wao hawachomoki kwa maswali hayo,kama haki ikitendeka.
 
Back
Top Bottom