Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
"Messi ametengeneza njia yake, mimi nitaitengeneza yangu."
Hayo ni maneno ya Lamine Yamal, nyota chipukizi wa FC Barcelona, mara baada ya kutangazwa rasmi kuwa atavaa jezi namba 10 — jezi maarufu iliyowahi kuvaliwa na Lionel Messi katika kikosi hicho.
Kupitia FC Barcelona, Yamal alitoa kauli hiyo akionesha heshima kwa Messi huku akisisitiza kuwa ana ndoto na njia yake binafsi ya mafanikio.