Lamine Yamal akabidhiwa Jezi Namba 10 asema "Messi ametengeneza njia yake, mimi nitaitengeneza yangu"

Lamine Yamal akabidhiwa Jezi Namba 10 asema "Messi ametengeneza njia yake, mimi nitaitengeneza yangu"

Uwezekano wa kushuka upo(sio kwamba sasa ndio naombea ashuke) yaani hii huwa inakuja tu. Mimi nimeshuhudia mfano mmoja wa hazard najua mingine ipo mingi tu huko university siijui huku kitaa ndo usiseme walioisha ghafla
Ushasema hazard huyu ni lamine yamal tumia akili kwenye ubongo wako hai ni watu wawili tofauti mizee mizima munakaa kumuonea wivu mtoto wa miaka 18
 
Kauli, unamjua zlatan ?
Dogo anajisifu sana huo ndo ukweli,,,, wenzake messi na ronaldo wamekaa kwenye gem kwa mda mrefu lakin huwez kuta wana toa kaul za ajabu,,ajiangalie madogo weng walianza kaa yeye lkin wamepotea aache kauli za kitoto over
 
Back
Top Bottom