Lamine Yamal akabidhiwa Jezi Namba 10 asema "Messi ametengeneza njia yake, mimi nitaitengeneza yangu"

Fanya maisha Yako usimfananishe na wengine yeye ni yeye muache ajivune sababu anatoa jasho lake na maisha yake kupambana muache ajivune hata mara mia ni haki yake usimfananishe na wengine sababu Lamine yamal ni mmoja tu duniani na ataingia kaburini peke yake sio na hao uliomfananisha nao tumia akili muache ajivune kwani we unaumia na Nini wakati anajivuna Kwa kipaji chake
Halafu mbona umekomalia jasho jasho jasho, unatoa jasho anatoa jasho! Kuna nini hapa kwenye jasho?

Au tujifunze kunyamaza?
 
Timu yeyote duniani anacheza
basi kiongozi, unaonekana una mahaba na yamal......mwaka 2006 lionel messi na christiano ronaldo walikua ni wachezaji wa kawaida na walianza kushine baada ya manguli kustaafu
wote cr7 na messi walianza kushine 2007/2008
(lamine yamal kwa sasa ni mchezaji bora) kwa sababu kwa wachezaji waliopo sasa hakuna mwenye kipaji kama yeye..........
 
Hilo umesema wewe lamine yamal anacheza timu yeyote zama zozote hamna mpira wa tofauti wowote hayo ni maneno ambayo wazee huwa munaongea kipaji anatoa mungu sio wewe binadamu kupimisha kipaji kama mtu anajua basi anajua tu mpira hauchezwi chumbani hata zama Gani anacheza mpira wote tunaangalia wewe itakua sio mtu wa mpira ila unapenda ubishani wa kizamani yaani kwamba zamani walikua wanachezea maroboti sio binadamu
 
Braza naona umeamua ubishane tu kwa mahaba uliyo nayo kwa Lamine.

Mimi ni mmoja wa diehard fans wa dogo Lamine lakini mambo mawili wadau wanayoyazungumza hapo juu kuhusu dogo ni sahihi kabisa.

1. Zamani kulikuwa na vipaji vikubwa, tena vingi kiasi dogo angeonekana wa kawaida sana. Ni mtu mwenye matatizo yake tu atabishana na ukweli huo.

2. Dogo Lamine kuna namna anajisikia. Kuna madogo wengi walikuja kwa speed majivuno yakawapoteza. Akitaka kufika mbali apunguze hilo. Bado anayo nafasi maana umri bado
 
Dogo anajisifu sana huo ndo ukweli,,,, wenzake messi na ronaldo wamekaa kwenye gem kwa mda mrefu lakin huwez kuta wana toa kaul za ajabu,,ajiangalie madogo weng walianza kaa yeye lkin wamepotea aache kauli za kitoto over
Anatakiwa apate mtu wa kumuongoza na ni kweli inatakiwa awe na Discipline.
 
Braza naona umeamua ubishane tu kwa mahaba uliyo nayo kwa Lamine.

Mimi ni mmoja wa diehard fans wa dogo Lamine lakini mambo mawili wadau wanayoyazungumza hapo juu kuhusu dogo ni sahihi kabisa.

1. Zamani kulikuwa na vipaji vikubwa, tena vingi kiasi dogo angeonekana wa kawaida sana. Ni mtu mwenye matatizo yake tu atabishana na ukweli huo.

2. Dogo Lamine kuna namna anajisikia. Kuna madogo wengi walikuja kwa speed majivuno yakawapoteza. Akitaka kufika mbali apunguze hilo. Bado anayo nafasi maana umri bado
Pambana na maisha Yako lamine hata akijisikia ni haki yake sababu anajua mpira Mimi sio mjinga wa kudanganya lamine yamal anacheza zama zozote za football mpira sio mdomoni kama unavyouelezea mpira uwanjani hadharani yaani we umekaa hapo shamba useme lamine Hana kipaji Cha kucheza zamani tafuta kazi ya kufanya maana unaanza kuwa na wivu mpaka Kwa watoto
 
Basi dada, samahani, simkosoi tena shemeji.
 
Acha wivu wa kike Kwa mtoto mdogo wa miaka 18 kisa we umezeeka na umasikini
Kiufupi jamaa hakumsema vibaya lamine bali ulikuwa ni kama ushauri tu

Na ushauri wake kweli ni mzuri yani dogo kajilipua kabisa kama ni kutukana watu katukana mf. "Wewe utaniambia nini?,wewe utanitisha nini?, Unanini?" bila kufikiria mambo huwa yanabadilika ghafla. Hata kuwala wake za watu si ajabu kawala yule dogo

Yote kwa yote ushauri ni mzuri na pengine wapo watu wengi tu waliomwambia live atulie lakini akawa disobey

NB: LABDA WEWE UNABIFU BINAFSI NA HUYU DOGO
 
Unatoaje ushauri Kwa mtu ambae hajakuomba ushauri si shobo hizo pambana na Hali Yako lamine yamal hatokuja kushuka kiwango kama ambavyo hater mnaombea Ili mje kusema tulisema Hilo msahau dogo ataendelea kutusua mpaka atakapostaafu soka lake na atawanyea mbovu Kila siku nje ya uwanja na ndani ya uwanja
 
Braza naona umeamua ubishane tu kwa mahaba uliyo nayo kwa Lamine.

Mimi ni mmoja wa diehard fans wa dogo Lamine lakini mambo mawili wadau wanayoyazungumza hapo juu kuhusu dogo ni sahihi kabisa.

1. Zamani kulikuwa na vipaji vikubwa, tena vingi kiasi dogo angeonekana wa kawaida sana. Ni mtu mwenye matatizo yake tu atabishana na ukweli huo.

2. Dogo Lamine kuna namna anajisikia. Kuna madogo wengi walikuja kwa speed majivuno yakawapoteza. Akitaka kufika mbali apunguze hilo. Bado anayo nafasi maana umri bado
Ninachojua kupotea hakuangalii tabia,majivuno wala nizamu bali hii inatokea tu hivyo ujifunze tu kuishi na watu vizuri
 
Unatoaje ushauri Kwa mtu ambae hajakuomba ushauri si shobo hizo pambana na Hali Yako lamine yamal hatokuja kushuka kiwango kama ambavyo hater mnaombea Ili mje kusema tulisema Hilo msahau dogo ataendelea kutusua mpaka atakapostaafu soka lake na atawanyea mbovu Kila siku nje ya uwanja na ndani ya uwanja
Uwezekano wa kushuka upo(sio kwamba sasa ndio naombea ashuke) yaani hii huwa inakuja tu. Mimi nimeshuhudia mfano mmoja wa hazard najua mingine ipo mingi tu huko university siijui huku kitaa ndo usiseme walioisha ghafla
 
Wewe ambae hujapotea mpaka unashauri watu nini umefanya kwenye soka
Nani kasema yeye ni mchezaji, afu sio tu kwenye uchezaji wa mpira yaani nazungumzia kitu chochote unachofanya ukafanikiwa jitahidi uheshimu kila mtu ukiamini mambo yanabadilika mda wote
 
Fanya kazi acha ujinga wa kukaa mitandaoni kuonea wivu kitoto Cha miaka 18 kwakua umezeeka na umasikini wako
 
Back
Top Bottom