Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kwanini mkuu?Huyu jamaa anajisikia sana
acha ujinga anajisikia kwani si miguu yake inafanya kazi pambana na Hali YakoHuyu jamaa anajisikia sana
Sina maana hiyo ya wivu mi ni miongoni mwa wanaomkubali lakini kitengo cha nidhamu na uwasilishaji wake wa mazungumzo ni mtu wa majivunoacha ujinga anajisikia kwani si miguu yake inafanya kazi pambana na Hali Yako
Ulitaka asijivune wakati anafanya kazi nzuri ulitaka awe bubu asitambe mpira ni lazima utambe unapofanya vizuri sababu anatoa jasho lake sio la mtu yeyote muache ajivunie jasho lakeSina maana hiyo ya wivu mi ni miongoni mwa wanaomkubali lakini kitengo cha nidhamu na uwasilishaji wake wa mazungumzo ni mtu wa majivuno
Dogo anajisifu sana huo ndo ukweli,,,, wenzake messi na ronaldo wamekaa kwenye gem kwa mda mrefu lakin huwez kuta wana toa kaul za ajabu,,ajiangalie madogo weng walianza kaa yeye lkin wamepotea aache kauli za kitoto overUlitaka asijivune wakati anafanya kazi nzuri ulitaka awe bubu asitambe mpira ni lazima utambe unapofanya vizuri sababu anatoa jasho lake sio la mtu yeyote muache ajivunie jasho lake
Fanya maisha Yako usimfananishe na wengine yeye ni yeye muache ajivune sababu anatoa jasho lake na maisha yake kupambana muache ajivune hata mara mia ni haki yake usimfananishe na wengine sababu Lamine yamal ni mmoja tu duniani na ataingia kaburini peke yake sio na hao uliomfananisha nao tumia akili muache ajivune kwani we unaumia na Nini wakati anajivuna Kwa kipaji chakeDogo anajisifu sana huo ndo ukweli,,,, wenzake messi na ronaldo wamekaa kwenye gem kwa mda mrefu lakin huwez kuta wana toa kaul za ajabu,,ajiangalie madogo weng walianza kaa yeye lkin wamepotea aache kauli za kitoto over
Jamaa mbona povu sana dogo anasemwa yeye unaumia wewe ,,wee kweli ni mwanaume au ndo kuna namnaFanya maisha Yako usimfananishe na wengine yeye ni yeye muache ajivune sababu anatoa jasho lake na maisha yake kupambana muache ajivune hata mara mia ni haki yake usimfananishe na wengine sababu Lamine yamal ni mmoja tu duniani na ataingia kaburini peke yake sio na hao uliomfananisha nao tumia akili muache ajivune kwani we unaumia na Nini wakati anajivuna Kwa kipaji chake
Alikuepo hazard, Neymar. Zimebaki historiaDogo anajisifu sana huo ndo ukweli,,,, wenzake messi na ronaldo wamekaa kwenye gem kwa mda mrefu lakin huwez kuta wana toa kaul za ajabu,,ajiangalie madogo weng walianza kaa yeye lkin wamepotea aache kauli za kitoto over
We ndio unapovu Mwanaume unaleta mambo ya kike unaanzaje kumsema Mwanaume mwenzio tena ni dogo tu we kubwa Zima umekalisha tako hapo buza unaanza kumsema kama sio upunga umekunyemelea ni Nini ushawahi sikia wapi wanaume wanasemanaJamaa mbona povu sana dogo anasemwa yeye unaumia wewe ,,wee kweli ni mwanaume au ndo kuna namna
Eti vipaji hamna we upo sawa kichwani kweli maana uliowataja hapo mbona wachezaji wakawaida sana au walikua wanapaa hewaniHUYU dogo amepata bahati sahivi watu hawana vipaji anaonekana peke yake....kipindi cha kina messi na ronaldo, kulikua kuna vipaji kibao ozil, di maria,luis nani,pedro,pato,robinho,ronaldinho,quaresma,villa
sahivi dogo anainjoi tu vipaji hakuna
wachezaji wengi wa kawaida atawatesa sana
inategemea na ninaeongea nae......kama una kipaji chochote cha sasa ulaya kitaje halafu kifananishe walau na mchezaji mmoja niliemtaja hapoEti vipaji hamna we upo sawa kichwani kweli