Lupalilo ngwada
Senior Member
- Sep 4, 2018
- 120
- 97
Wadau nafikiria kumiliki huyo mnyama. Za mwaka 2010-2014 bei gani yard? Naomba kujua risk zake na advantages Zeke. Mi najua moja ya ulaji wa mafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru mkuuHakuna risk na ulaji wa mafuta ni kawaida kwa huyo mnyama
Ishu hapo uwe na pesa ya service kwa wakati na uwe tayari kupambana na running cost zake
kiasi chake mkuu.naona nchi iko kwenye ucumi wa kati sasa ... miaka minne iliyopita mlikua mnajadili namana ya kununua vitz na rav4
Hongera mkuu,ila nina hakika running cost zake ni kubwa kwa mtu wa kipato cha kawaida.Gari nzuri sana utaenjoy engine kubwa sana,ndo gari yangu ya mizunguko tangu 2012,mafuta sio kivile litre 1 per 9 kms
Hongera mkuu,ila nina hakika running cost zake ni kubwa kwa mtu wa kipato cha kawaida.
Gari nzuri sana utaenjoy engine kubwa sana,ndo gari yangu ya mizunguko tangu 2012,mafuta sio kivile litre 1 per 9 kms
Braza hiyo 1litre per 9kms ni kwa safari ndefu labda (Highway Driving) ila kwa mizunguko ya town tu bana inabugia 1 litre per 5kms braza, piston 8 ila najua jamaa anajiwezaGari nzuri sana utaenjoy engine kubwa sana,ndo gari yangu ya mizunguko tangu 2012,mafuta sio kivile litre 1 per 9 kms
Yap,sema ukikipenda kitu bwana unaona kawaida sanaHongera mkuu,ila nina hakika running cost zake ni kubwa kwa mtu wa kipato cha kawaida.
Yap kweli,maana makazi yangu Ni mkoani hamna foleni,dar huwa nakaa nayo siku mbili tatu,Braza hiyo 1litre per 9kms ni kwa safari ndefu labda (Highway Driving) ila kwa mizunguko ya town tu bana inabugia 1 litre per 5kms braza, piston 8 ila najua jamaa anajiweza
Una mawazo ya kimaskini sana,Sasa kuwa na V8 ni issue??? Magari yameshuka sana Bei,ungesema nyumba labda,Sasa na gari Ni kitu Cha kushangaa kweliHii ndio JF bhna
[emoji23]Una mawazo ya kimaskini sana,Sasa kuwa na V8 ni issue??? Magari yameshuka sana Bei,ungesema nyumba labda,Sasa na gari Ni kitu Cha kushangaa kweli
Una mawazo ya kimaskini sana,Sasa kuwa na V8 ni issue??? Magari yameshuka sana Bei,ungesema nyumba labda,Sasa na gari Ni kitu Cha kushangaa kweli
Anashangaa V8 wakati Kuna watu wana hummer na helicopter tena V8 lenyewe old model[emoji23]
Ndiyo mkuuKwani amekuambia anakipato cha kawaida? Angekuwa na kipato cha kawaida asingeulizia hiyo gari, angeulizia passo, vtz and the like
Lakini zinadumu au kamanda.Service na Spare zake bei ipo juu.
Inabidi ujipange sije ukaanza kutafuta maeneo wanayouza used spare.
Nashukuru kwa mawazo. Ila bei sijatajiwa wakuu.Wadau nafikiria kumiliki huyo mnyama. Za mwaka 2010-2014 bei gani yard? Naomba kujua risk zake na advantages Zeke. Mi najua moja ya ulaji wa mafuta