Land cruiser v8

Land cruiser v8

Lupalilo ngwada

Senior Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
120
Reaction score
97
Wadau nafikiria kumiliki huyo mnyama. Za mwaka 2010-2014 bei gani yard? Naomba kujua risk zake na advantages Zeke. Mi najua moja ya ulaji wa mafuta
 
Braza hiyo 1litre per 9kms ni kwa safari ndefu labda (Highway Driving) ila kwa mizunguko ya town tu bana inabugia 1 litre per 5kms braza, piston 8 ila najua jamaa anajiweza
Yap kweli,maana makazi yangu Ni mkoani hamna foleni,dar huwa nakaa nayo siku mbili tatu,
 
Back
Top Bottom