Land cruiser v8

Majority ya hayo madude 200 series ni V8 ndio maana imejichukulia code kirahisi wakati hata series nyingine pia V8 zipo
 
Wana jamii forums tujitafakari Sana. Hebu tukasome uzi ulichouliza na sisi tunachojadili. Common sense is not common
 
sahihi kabisa
 
Hii ndio gari ya kwanza kwenye series 200 ya Toyota Land Cruiser kuwekewa engine ya V8. Hapo awali series 70,80,100 zilikuwa zinatumia mfumo wa inline 6 cylinder.

Pia kuna Land Cruiser Vx Limited na series 79 zinakuja na V8 engine.
Sijakuelewa mkuu ,mbona kuna 100 series kibao tu ni V8 ?? Cygnus ,Amazon
 
Braza hiyo 1litre per 9kms ni kwa safari ndefu labda (Highway Driving) ila kwa mizunguko ya town tu bana inabugia 1 litre per 5kms braza, piston 8 ila najua jamaa anajiweza
Lita 1 km 5? Dah!
 
Ila bongo magari bei juu German SUV bei ya kawaida tu kwa mtu mwenye mshahara wa kati.. Audi vw and BMW SUV ni around 30k-60k €..tena unanunua unalipa kidogo kidogo
 
Sijakuelewa mkuu ,mbona kuna 100 series kibao tu ni V8 ?? Cygnus ,Amazon
Labda hakuwahi kuziona , zilikuwepo ila zilikuwa ni limited edition. Na ziIlikuwa za pertoli, , 200 series ndo kwa mara ya kwanza v8 engines zilikuwa offered kama diesel, na standard option, petrol v8 bado zipo pia katika 200series japo bado pia si standard option.
 
Kwani mleta mada amekwambia anapendelea ipi?
LC 76 au LC 200?
 
Kwani mleta mada amekwambia anapendelea ipi?
LC 76 au LC 200?

na ndio maana nikaweka maelezo hayo ...sababu ukisema landcruiser v8 unakuwa hueleweki unaongelea landcruiser ipi maana zipo models nyingi zenye v8 engines

soma vizur maelezo yangu mwisho nikasema kutokana na michango ya wadau inaonekana wanaiongelea 200series so ingekuwa vyema kama watu watumie model names badala ya engines maana inaweza ikachanganya wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…