Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
pamoja mkuuAhsante kwa maelelzo ya kitaalam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pamoja mkuuAhsante kwa maelelzo ya kitaalam
Majority ya hayo madude 200 series ni V8 ndio maana imejichukulia code kirahisi wakati hata series nyingine pia V8 zipohivi ni kwanini toyota landcruiser 200series watu wanaiitaga landcruiser V8 [emoji23][emoji23]
wakati V8 ni engine na ipo kwenye landcruiser model nyingi tu maana hata LX 76 series zipo zenye V8 engines
kwa maelezo yako mleta mada na wachangiaji gari mnayoiongelea inaitwa TOYOTA landcruiser 200series hyo V8 ni code tu kuonesha kuwa inatumia engine yenye piston 8 na zimekaa kwa V configuration
sahihi kabisaLandcruiser 200 series diesel engine v8 ilikuja kama standard option, , yes huko nyuma zilikuwepo v8 engines lakini zilikuwa ni petrol engine, 1Uz na 2Uz , ni moja ya engine za v8 configuration, V8 za miaka ya nyuma hazikuwa standard , zilikuwa zinakuja kama luxury options Lx na Vx, hasa lexus
Sijakuelewa mkuu ,mbona kuna 100 series kibao tu ni V8 ?? Cygnus ,AmazonHii ndio gari ya kwanza kwenye series 200 ya Toyota Land Cruiser kuwekewa engine ya V8. Hapo awali series 70,80,100 zilikuwa zinatumia mfumo wa inline 6 cylinder.
Pia kuna Land Cruiser Vx Limited na series 79 zinakuja na V8 engine.
Hahahaaaaa!!!.,..Kweli rafiki nahisi mtoa mada yuko sehemu anacheka mwenyeweInabidi kuwazoea tu watu wa namna hiyo Bro. Nami nimejiuliza swali kama lako.
[emoji28][emoji28][emoji28]Hahahaaaaa!!!.,..Kweli rafiki nahisi mtoa mada yuko sehemu anacheka mwenyewe
Ngoja kwanza wataalamu wa magari wamalize kuelezea ujuzi wao....alafu madalali wa magari watasema bei za yardwekeni bei basi nyie mbwiga
Lita 1 km 5? Dah!Braza hiyo 1litre per 9kms ni kwa safari ndefu labda (Highway Driving) ila kwa mizunguko ya town tu bana inabugia 1 litre per 5kms braza, piston 8 ila najua jamaa anajiweza
Labda hakuwahi kuziona , zilikuwepo ila zilikuwa ni limited edition. Na ziIlikuwa za pertoli, , 200 series ndo kwa mara ya kwanza v8 engines zilikuwa offered kama diesel, na standard option, petrol v8 bado zipo pia katika 200series japo bado pia si standard option.Sijakuelewa mkuu ,mbona kuna 100 series kibao tu ni V8 ?? Cygnus ,Amazon
Kuna jamaa anavunja na Raum kadi mkononi .wekeni bei basi nyie mbwiga
JF Mtu kauliza bei watu wanajadili vitu vinginevyo kabisa
Na nyie bado hamtoi majibu bali mnashangaa kitu ambacho nanyi mnakiendeleza.Inabidi kuwazoea tu watu wa namna hiyo Bro. Nami nimejiuliza swali kama lako.
Na nyie bado hamtoi majibu bali mnashangaa kitu ambacho nanyi mnakiendeleza.
Tungejua majibu, tungesha yaweka bayana....sisi pia ni miongoni mwa waliokuwa wanangoja majibu!!!...Na nyie bado hamtoi majibu bali mnashangaa kitu ambacho nanyi mnakiendeleza.
Land Cruiser V8Wadau nafikiria kumiliki huyo mnyama. Za mwaka 2010-2014 bei gani yard? Naomba kujua risk zake na advantages Zeke. Mi najua moja ya ulaji wa mafuta
Kwani mleta mada amekwambia anapendelea ipi?hivi ni kwanini toyota landcruiser 200series watu wanaiitaga landcruiser V8 [emoji23][emoji23]
wakati V8 ni engine na ipo kwenye landcruiser model nyingi tu maana hata LX 76 series zipo zenye V8 engines
kwa maelezo yako mleta mada na wachangiaji gari mnayoiongelea inaitwa TOYOTA landcruiser 200series hyo V8 ni code tu kuonesha kuwa inatumia engine yenye piston 8 na zimekaa kwa V configuration
Kwani mleta mada amekwambia anapendelea ipi?
LC 76 au LC 200?