PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
120 - 150 nimetembea Sana usiku kipande cha ngerengere pia hata kipande Fulani cha kuitafuta Dodoma ila ni sehemu fupifupi sana ambapo barabarani unakuwa mwenyewe Tu180 zipo chache kama kipande cha SAME
ila 120 unatembea kaka
Ulikuwa unaendesha CHUMA GANI maana lazima uwe na CHUMA yenye uwezo barabarani6 hrs Dsm arusha nimeshaipiga sana,
ilaninatakiwa uwe na Confidence ya kusimamishwa na Nguo nyeupe.
Mjerumani wa Hamburger ya Bariadi[emoji23][emoji23]Ila humu JF Kuna saundi sana mkuu,Kuna jamaa mmoja humu JF alisema yeye hua akipambana Sana anatumia 6 hrs kwa safari ya Dar-Arusha,akatoka Mjerumani mweusi wa kutoka huko Hamburger ya Bariadi akasema huo Ni mzaha, mke wangu mwenyewe Dar-Arusha anatumia 5.30 hrs na Mimi hapa natumia 4hrs Dar-Arusha.
Aisee yule Mjerumani mweusi tulimuweka Kati atuwekee hesabu za 4 hours na hizi barabara zetu,alikimbia ule Uzi mazima [emoji1][emoji1]
Kuna meme ipo mtandaoni ya kuwa hii Vx V8 ya 2022 ni oversized Probox na ukiona kuna ukweli fulani hivi.Land cruiser vx v8 hii gari isikie tu!
Hii ni ndege ya chini!
Ukionja hii gari unaweza ishauri Serikali kuwe na leseni maalum kwa madereva wa hizi gari maana ni ndege ya chini wallah!
Nahisi ndiyo maana ilibatizwa Ushangingi maana ni kweli VXV8 ni shangingi la njia siyo uwongo!
Na ukitaka kuielewa vizuri panda kwenda safari ndefu ndiyo utajua TOYOTA HAPA ALITULIZA KICHWA.
Uraibu wa hii gari ni viongozi wachache sana wakiafrika wanaweza kukubali kuushinda ili waachane kununua magari Haya ya gharama kubwa!
Zote zipo fiti ila hii land cruiser vx v8 2022 ni kiboko yao!
Ni gari bomba sana, very comfort, stable, luxury, High speed tolerance, sensor of crush, music system, massaging seat, sleeping sensor and much more!
Napata ugumu kukuelewesheni hii ya 2022 ilivyo bora na bomba ila kama kuna mtu yuko karibu na Mwigulu Nchemba anayo moja bado mbichi kabisa unaweza kuitizama ni mashine!
Land cruiser vx v8 inasifa moja kuu! INAOMBA NJIA MUDA WOTE!
Tunawalaumu bure viongozi wanavyopita pyuupyuupyuu huko barabarani siyo wao! Bali ni land cruiser vx v8 ndivyo inataka mambo hayo!
Naomba Mungu anijalie na mimi siku nimiliki yangu!
View attachment 2373415
Kuna meme ipo mtandaoni ya kuwa hii Vx V8 ya 2022 ni oversized Probox na ukiona kuna ukweli fulani hivi.
Na 4 hrs umeshawahi?6 hrs Dsm arusha nimeshaipiga sana,
ilaninatakiwa uwe na Confidence ya kusimamishwa na Nguo nyeupe.
mi pia nilibisha sana ila dereva anaondoka na gari asubuhi kumpokea boss wake airport sa sita mchana darMasaa matano limekuwa bus? Dar -Dom ni km 450 kwa hiyo linatembea zaidi ya km 100 kwa saa?!!
Agiza kama ni ProBox hio maana gharama ya kuiagiza na kodi ukipewa ni mtaji tosha wa wewe kujenga apartments 3 na IST 3 pamoja na maduka kadhaa makubwa.Kuna meme ipo mtandaoni ya kuwa hii Vx V8 ya 2022 ni oversized Probox na ukiona kuna ukweli fulani hivi.
Ila kimuonekano kweli ni oversized probox 🤣🤣🤣Agiza kama ni ProBox hio maana gharama ya kuiagiza na kodi ukipewa ni mtaji tosha wa wewe kujenga nyumba yako IST 3 pamoja na maduka kadhaa makubwa.
Kuna meme ipo mtandaoni ya kuwa hii Vx V8 ya 2022 ni oversized Probox na ukiona kuna ukweli fulani hivi.
Hii Picha Sio ya V8 mkuu.Land cruiser vx v8 hii gari isikie tu!
Hii ni ndege ya chini!
Ukionja hii gari unaweza ishauri Serikali kuwe na leseni maalum kwa madereva wa hizi gari maana ni ndege ya chini wallah!
Nahisi ndiyo maana ilibatizwa Ushangingi maana ni kweli VXV8 ni shangingi la njia siyo uwongo!
Na ukitaka kuielewa vizuri panda kwenda safari ndefu ndiyo utajua TOYOTA HAPA ALITULIZA KICHWA.
Uraibu wa hii gari ni viongozi wachache sana wakiafrika wanaweza kukubali kuushinda ili waachane kununua magari Haya ya gharama kubwa!
Zote zipo fiti ila hii land cruiser vx v8 2022 ni kiboko yao!
Ni gari bomba sana, very comfort, stable, luxury, High speed tolerance, sensor of crush, music system, massaging seat, sleeping sensor and much more!
Napata ugumu kukuelewesheni hii ya 2022 ilivyo bora na bomba ila kama kuna mtu yuko karibu na Mwigulu Nchemba anayo moja bado mbichi kabisa unaweza kuitizama ni mashine!
Land cruiser vx v8 inasifa moja kuu! INAOMBA NJIA MUDA WOTE!
Tunawalaumu bure viongozi wanavyopita pyuupyuupyuu huko barabarani siyo wao! Bali ni land cruiser vx v8 ndivyo inataka mambo hayo!
Naomba Mungu anijalie na mimi siku nimiliki yangu!
View attachment 2373415
Ushaipanda ukaona hio oversized Probox ina nini ndani? 😀Ila kimuonekano kweli ni oversized probox 🤣🤣🤣
ubena zomozi nadhani unapaongelea120 - 150 nimetembea Sana usiku kipande cha ngerengere pia hata kipande Fulani cha kuitafuta Dodoma ila ni sehemu fupifupi sana ambapo barabarani unakuwa mwenyewe Tu
ishu ni look sio kontentiUshaipanda ukaona hio oversized Probox ina nini ndani? 😀
Kama unalo kila la heri.ishu ni look sio kontenti
Inakwambia unatoa hutoi?Kabisa. Mbele haina shida kabisa nyuma ndo wameibinya kama toyota isis.View attachment 2373448