Land cruiser VX V8 ni ndege ya chini aisee! Ndiyo maana viongozi hawataki kuyaachia

Land cruiser VX V8 ni ndege ya chini aisee! Ndiyo maana viongozi hawataki kuyaachia

Kwangu mim GXR ndio funga kazi kuliko VX au VXR
GXR iwe Automatic ndio nzuri zaidi.

Ila haina features za VXR .
VXR imeboreshwa zaidi hasa kwenye comfortability.

Lakini picha ya mdau kwenye 1st page sio V8 ile ni V6.

Na huyo jamaa mtoa mada hajawahi kutumia Discover, aanzie Discover 5. aje abadilishe mtazamo wake.
 
Back
Top Bottom