Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HatariJuzi nimeiona L300 maeneo ya jaribu,jamaa ule mwendo si wa kawaida!
Hii noma sana barabarani, haswa kama ni salama.Inaitwa adrenaline thrill!
Be specific kama ulivyo specify kwenye toyota ,hiyo subaru ilikuwa ya aina ipi?Subaru: Dom-Dar 4:30hrs ila roho ilikua mkononi siku hiyo. Kuhusu vx v8 ni mnyama haswa, ila nasubiria ya mwaka 2030[emoji3]
Fortuner sh ngapi dukani?IST ukila mzinga,uwezo wa kulala yoo ni Mkubwa sana, haya magari yaache tu Mkuu
Last year nilienda likizo Home nikapanda Fortuner new model ya Mzee ilikuwa mpya kabisa,hizi gari sio powa aise, sasa hiyo ni fortuner,sijui hii ya mleta mada ni tamu kiasi gani
Kwamba ni pneumatic(Air suspension system) au?Uzuri busta zikitaga unapaki ndani,
HahahahahahGari ya kufukia matuta ni 70 series. Hiyo V8 kama hela ya mawazo ukifukia matuta utakufa kwa stroke ukiletewa mkeka.
Hajaamua tu! Haya, kwa mfano napiga marufuku viongozi kutumia v8 watanifanyaje kwa mfano? Hakuna paka wa kunigusa...! Mtaishia kulia lia tuNilipewa lifti na mshikaji wangu ni Waziri toka Katavi mpaka Dodoma mzee comfortability,standard & speed ya yale magari ni balaa na nusu. Ndio maana wabongo wanalewa uongozi aisee. Hakuna raisi atakuja kupiga stop V8 hawatakubali wajuba wa nchi hii.
Hivi hawa wapuuzi wanapata faida gani kudanganya danganya?Ila humu JF Kuna saundi sana mkuu,Kuna jamaa mmoja humu JF alisema yeye hua akipambana Sana anatumia 6 hrs kwa safari ya Dar-Arusha,akatoka Mjerumani mweusi wa kutoka huko Hamburger ya Bariadi akasema huo Ni mzaha, mke wangu mwenyewe Dar-Arusha anatumia 5.30 hrs na Mimi hapa natumia 4hrs Dar-Arusha.
Aisee yule Mjerumani mweusi tulimuweka Kati atuwekee hesabu za 4 hours na hizi barabara zetu,alikimbia ule Uzi mazima [emoji1][emoji1]
South Africa ambako maximum speed Ni 120kph barabara Ni 4-4 kilomita 380 natumia 4hours sembuse bongo nyoso?Road trip nikiwa na Japanese, speed 80-100-120, average 70km/h, mfano Dar Dodoma Km 450/70 = 6 mpaka 7 hours.
Nikiwa na wazee wa Munich, speed 140-180-200, average 120km/h, Dar - Dodoma Km 450/120, 4 mpaka 5 hours (kama mlandizi - mikese hamna zengwe)
SawaRoad trip nikiwa na Japanese, speed 80-100-120, average 70km/h, mfano Dar Dodoma Km 450/70 = 6 mpaka 7 hours.
Nikiwa na wazee wa Munich, speed 140-180-200, average 120km/h, Dar - Dodoma Km 450/120, 4 mpaka 5 hours (kama mlandizi - mikese hamna zengwe)
Kuanzia acceleration mpk top speed hakuna cruiser ya kufuata range rover v8 5.0 labda akina posche cayenne,bentley,x5,x6 kumbuka ya sasa hivi 4.4L ina hp 600+.Hiyo naijua na nishawekaga Uzi wake humu, lakini haina mwrndo kama land cruiser vx v8! Dar Dom 5:30hrs
Hii ikoje mkuu?? mafuta na spare zake kulinganisha na hizo VX & VXR or ZXKwangu mim GXR ndio funga kazi kuliko VX au VXR
ukiwa na uwezo wa kununua haya madude huwazi mafuta wala spea....Hii ikoje mkuu?? mafuta na spare zake kulinganisha na hizo VX & VXR or ZX