N nyongolwe JF-Expert Member Joined May 25, 2020 Posts 2,785 Reaction score 3,600 Apr 13, 2024 #261 Marytina said: ukiwa na uwezo wa kununua haya madude huwazi mafuta wala spea.... Ukiwaza hayo bado unastahili VAN GUARD and the likes ILA GX ni the most accelarating landcruza mkuu....na sio delicate kama VX, hivyo hivyo kwa GXR VS VXR Click to expand... Mmh most accelerating?GX diesel iizidi vxr ya petrol?
Marytina said: ukiwa na uwezo wa kununua haya madude huwazi mafuta wala spea.... Ukiwaza hayo bado unastahili VAN GUARD and the likes ILA GX ni the most accelarating landcruza mkuu....na sio delicate kama VX, hivyo hivyo kwa GXR VS VXR Click to expand... Mmh most accelerating?GX diesel iizidi vxr ya petrol?
K KotelaMamba JF-Expert Member Joined Apr 8, 2020 Posts 701 Reaction score 1,241 May 11, 2024 #262 Marytina said: Kwangu mim GXR ndio funga kazi kuliko VX au VXR Click to expand... GXR iwe Automatic ndio nzuri zaidi. Ila haina features za VXR . VXR imeboreshwa zaidi hasa kwenye comfortability. Lakini picha ya mdau kwenye 1st page sio V8 ile ni V6. Na huyo jamaa mtoa mada hajawahi kutumia Discover, aanzie Discover 5. aje abadilishe mtazamo wake.
Marytina said: Kwangu mim GXR ndio funga kazi kuliko VX au VXR Click to expand... GXR iwe Automatic ndio nzuri zaidi. Ila haina features za VXR . VXR imeboreshwa zaidi hasa kwenye comfortability. Lakini picha ya mdau kwenye 1st page sio V8 ile ni V6. Na huyo jamaa mtoa mada hajawahi kutumia Discover, aanzie Discover 5. aje abadilishe mtazamo wake.
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 10,786 Reaction score 35,916 May 16, 2024 #263 Marytina said: Kwangu mim GXR ndio funga kazi kuliko VX au VXR Click to expand... GXR na VXR utofauti upo wapi? Ebu fafanua mkuu
Marytina said: Kwangu mim GXR ndio funga kazi kuliko VX au VXR Click to expand... GXR na VXR utofauti upo wapi? Ebu fafanua mkuu
MANDEVUMENGI JF-Expert Member Joined May 15, 2018 Posts 1,345 Reaction score 3,570 May 16, 2024 #264 Nimesoma uzi woote..halafu sina hata ka i.s.t angalau na mm niongelee mada[emoji23][emoji23]...kwel maisha hatufanani[emoji23]
Nimesoma uzi woote..halafu sina hata ka i.s.t angalau na mm niongelee mada[emoji23][emoji23]...kwel maisha hatufanani[emoji23]
F finyango JF-Expert Member Joined Aug 11, 2016 Posts 2,735 Reaction score 2,123 May 28, 2024 #265 Vipi kuhusu Lexus lx 600?