- Thread starter
- #21
Hiyo naijua na nishawekaga Uzi wake humu, lakini haina mwrndo kama land cruiser vx v8! Dar Dom 5:30hrsMuulize na Range Rover 2022 model
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo naijua na nishawekaga Uzi wake humu, lakini haina mwrndo kama land cruiser vx v8! Dar Dom 5:30hrsMuulize na Range Rover 2022 model
Na tozoKodi zetu hizo
Unazungumzia hii?LC ni gari nusu ila Hii mpya sijaipenda kimwonekano kama ile ya nyuma yake.
Vyovyote vile mkuu ila hii nchi tajiri.Michango ya wananchi mkuu
Hichi ndio kitu sijui kwanini hakisemwiLC ni gari nusu ila Hii mpya sijaipenda kimwonekano kama ile ya nyuma yake.
Unazungumzia hii?View attachment 2373439
Tairi yake moja ni 1.2mil maana yake tairi zote 4.8mil,Vyovyote vile mkuu ila hii nchi tajiri.
Mkuu unaijua IST weyeh?land cruiser vx v8 hii gari isikie tu!
Hii ni ndege ya chini!
Ukionja hii gari unaweza ishauri serikali kuwe na leseni maalum kwa madereva wa hizi gari maana ni ndege ya chini wallah!
Nahisi ndiyo maana ilibatizwa Ushangingi maana ni kweli VXV8 ni shangingi la njia siyo uwongo!
Na ukitaka kuielewa vizuri panda kwenda safari ndefu ndiyo utajua TOYOTA HAPA ALITULIZA KICHWA.
Ulaibu wa hii gari ni viongozi wachache sana wakiafrika wanaweza kukubali kuushinda ili waachane kununua magari Haya ya gharama kubwa!
Zote zipo fiti ila hii land cruiser vx v8 2022 ni kiboko yao!
Ni gari bomba sana, very comfort, stable, luxury, High speed tolerance, sensor of crush, music system, massaging seat, sleeping sensor and much more!
Napata ugumu kukuelewesheni hii ya 2022 ilivyo bora na bomba ila kama kuna mtu yuko karibu na mwigulu nchemba anayo moja bado mbichi kabisa unaweza kuitizama ni mashine!
Land cruiser vx v8 inasifa moja kuu! INAOMBA NJIA MUDA WOTE!
Tunawalaumu bure viongozi wanavyopita pyuupyuupyuu huko barabarani siyo wao! Bali ni land cruiser vx v8 ndivyo inataka mambo hayo!
Naomba Mungu anijalie na mimi siku nimiliki yangu!
View attachment 2373415
Acha tu mkuu mimi hadi leo bado najiuliza ni hekima ilitumika kuwafanya viongozi waishi kifahari kwa gharama zetu yani tulilenga nini kwamba ndio watafanya kazi kwa bidii vp?Tairi yake moja ni 1.2mil maana yake tairi zote 4.8mil,
Taa yake inauzwa kwa seti taa mbili 3mil
Full services ukijumlisha na break pad n.k lazima mfukoni usikose 1mil n.k
Hii gari baadhi ya mikoa inaitwa Bi-tozo
Hii LC300 haina uzuri woeote ule kama VXR LC200LC ni gari nusu ila Hii mpya sijaipenda kimwonekano kama ile ya nyuma yake.
SafiGari ya ndoto yangu aisee, naami kabisa sitaingia uzee kabla ya kuwa na kitu, na mchakato ushaanza muda na unaenda vizuri.
Kabisa. Mbele haina shida kabisa nyuma ndo wameibinya kama toyota isis.Hichi ndio kitu sijui kwanini hakisemwi
Hasa mwonekano kwa nyuma
New model wamechemka
Old model mayai sana
TrueHii LC300 haina uzuri woeote ule kama VXR LC200
Unaposema hiyo gari ina ....massaging seat...... unamaanisha nini? Maana sisi wengine kwa kweli tumezoea kushinda kwenye VITS na Corolla.land cruiser vx v8 hii gari isikie tu!
Hii ni ndege ya chini!
Ukionja hii gari unaweza ishauri serikali kuwe na leseni maalum kwa madereva wa hizi gari maana ni ndege ya chini wallah!
Nahisi ndiyo maana ilibatizwa Ushangingi maana ni kweli VXV8 ni shangingi la njia siyo uwongo!
Na ukitaka kuielewa vizuri panda kwenda safari ndefu ndiyo utajua TOYOTA HAPA ALITULIZA KICHWA.
Ulaibu wa hii gari ni viongozi wachache sana wakiafrika wanaweza kukubali kuushinda ili waachane kununua magari Haya ya gharama kubwa!
Zote zipo fiti ila hii land cruiser vx v8 2022 ni kiboko yao!
Ni gari bomba sana, very comfort, stable, luxury, High speed tolerance, sensor of crush, music system, massaging seat, sleeping sensor and much more!
Napata ugumu kukuelewesheni hii ya 2022 ilivyo bora na bomba ila kama kuna mtu yuko karibu na mwigulu nchemba anayo moja bado mbichi kabisa unaweza kuitizama ni mashine!
Land cruiser vx v8 inasifa moja kuu! INAOMBA NJIA MUDA WOTE!
Tunawalaumu bure viongozi wanavyopita pyuupyuupyuu huko barabarani siyo wao! Bali ni land cruiser vx v8 ndivyo inataka mambo hayo!
Naomba Mungu anijalie na mimi siku nimiliki yangu!
View attachment 2373415
Ni nzuri sana na ni gharama pia.Niishie hapo,kama umewahi kupanda,utanielewa.Ni nzuri sana.Tairi yake moja ni 1.2mil maana yake tairi zote 4.8mil,
Taa yake inauzwa kwa seti taa mbili 3mil
Full services ukijumlisha na break pad n.k lazima mfukoni usikose 1mil n.k
Hii gari baadhi ya mikoa inaitwa Bi-tozo
Masaa matano limekuwa bus? Dar -Dom ni km 450 kwa hiyo linatembea zaidi ya km 100 kwa saa?!!Hiyo naijua na nishawekaga Uzi wake humu, lakini haina mwrndo kama land cruiser vx v8! Dar Dom 5:30hrs