Land cruiser VX V8 ni ndege ya chini aisee! Ndiyo maana viongozi hawataki kuyaachia

Mkuu unaijua IST weyeh?
 
Tairi yake moja ni 1.2mil maana yake tairi zote 4.8mil,
Taa yake inauzwa kwa seti taa mbili 3mil
Full services ukijumlisha na break pad n.k lazima mfukoni usikose 1mil n.k

Hii gari baadhi ya mikoa inaitwa Bi-tozo
Acha tu mkuu mimi hadi leo bado najiuliza ni hekima ilitumika kuwafanya viongozi waishi kifahari kwa gharama zetu yani tulilenga nini kwamba ndio watafanya kazi kwa bidii vp?
 
Unaposema hiyo gari ina ....massaging seat...... unamaanisha nini? Maana sisi wengine kwa kweli tumezoea kushinda kwenye VITS na Corolla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…