Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Mng'ato SA wamepunguza uzito pia lipo tofauti na tani tatu na ushee za UK na pia ulaji wa mafuta wa SA upo chini tofauti na ya UK ndio maana Msouth kauza sana Ulaya na Australia ingawaje yeye sio mmiliki na pia body lisiwe siraha ya kukudhuru pindi linapopata ajali mkuu mimi napendelea sana Mercedes Benz ila benz hawana gari ya juu iliyosimama kama Rand Lover ile ML 350 benz haipo confortable sana kama hizo Disco 3 na 4 hizo ni gari mzee tafuta kodi tuu boda ni 24milion kununua 3 ni 16 milion mpaka 20m ila disco 4 lipo juu mwakani litashuka bei hata used pia...
Marcedes Benz GLS 63 AMG.