Land Rover Discovery 4 - Mega thread


Marcedes Benz GLS 63 AMG.
 
Discovery sport 2016 inauza kwa sababu ya logo tu ila ni gari ya kawaida haingii hata kwa kia Sorento ya 2016 ambayo ni station wagon pia kwa comfort, space ndani, reliability nk.
 
Kwa hiyo ndiyo kusema Discover 3 ndiyo bora kuliko discover zote? Na pia bei yake ni sh ngapi kama nikiagiza mtumba?
 
Samahani nami nilikuwa mbali na mtandao watanzania tuna kasumba Maadam tumezoea toyota basi gari zingine tunaziponda discover gari nzuri sana kwa safari na mafuta pia spare zipo na ukinunua utafanya service ya kawaida tu kwa muda mrefu

umenena nafikiri kasumba inasumbua watu..sana gari yangu ya kwanza nilitaka nunua nilitaka nunua mazda verisa au nissani tiida.. jama wasema mengi saana ila kweli, ninakafurahia kamazda verisa kangu hako!!
 
Tuma picha kwenye WhatsApp namba hii 0754333470. Asante.
 
Tuma picha kwenye WhatsApp namba hii 0754333470. Asante.
Mkuu nikutumie picha ya zilizo yard unataka ya mwaka gani?kodi Tanzania si pungufu ya 24milion kununua SA ni kuanzia rand 100,000 kama Tsh 16 milion mpaka 20m bado milion na nusu ya karatasi na mafuta mpaka Tunduma.. cheki hiyo hesabu ukitaka nakutumia picha ya zilizo yard au mnadani..
 
Weka maelezo vizuri mkuu. Hivi nikiwa na jumla ya sh ngapi naweza kupata discover 3 nzuri angalau bei ya chini au ya kati?
 
Royals disc 3 inapatikana kuanzia Tsh 16 milion mpaka 22milion hapa..johannesburg mpaka Nakonde 2800km piga hesabu ya mafuta kwa km hizo na kupata karatasi za interpol na Sadc na export permit unalipia sehemu moja tuu ya kupata dot kama laki mbili sehemu zingine hizo ni bure na ni siku moja kufanya hiyo kazi ila export permit unaipata pretoria siku mbili wanatoa ni bure nayo..kodi Tanzania ni kati ya 22milion mpaka 26milion kama utapita boarder bandari kuna gharama zinaongezeka...
 
Marcedes Benz GLS 63 AMG.
Nami nilitaka kumjibu; pengine kasahau juu ya GL class. Hiyo GLS 63 AMG ni habari nyingine...I will take GL over RR for a station wagon.
Hapo G class haijazungumziwa...
 
Mkuu Vp Discovery Sport?
 
Nami nilitaka kumjibu; pengine kasahau juu ya GL class. Hiyo GLS 63 AMG ni habari nyingine...I will take GL over RR for a station wagon.
Hapo G class haijazungumziwa...
M. Benz ni expensive to buy and operate.
Kama una hela ya mawazo chukua Discovery ila kama upo vizuri Benz utazifaidi sana.
Discovery 4 inauzwa 150 pamoja na kodi.
Gls 63 AMG inauzwa almost 300 pamoja na kodi.
 
M. Benz ni expensive to buy and operate.
Kama una hela ya mawazo chukua Discovery ila kama upo vizuri Benz utazifaidi sana.
Discovery 4 inauzwa 150 pamoja na kodi.
Gls 63 AMG inauzwa almost 300 pamoja na kodi.
I go for GL and not GLS bro..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…