Land Rover Discovery 4 - Mega thread

Land Rover Discovery 4 - Mega thread

Pathetic, greedy pig!!
Dah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ,hapo kwenye Pathetic nimeelewa ila sasa huku kwenye greedy Pig [emoji241][emoji200] umefikaje mkuu, unajua hii comment ni ya zamani ila nimecheka balaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nawaza nguruwe mchoyo kakunyima nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mkuu hiyo gari haina shida kama mdau anavyoongea hapo juu ni gari bora, lina balance, confortable sana ndani, speed ipo na imara Landrover hiyo haili mafuta simu yangu inagoma ku upload picha zake inawezekana Bufa ajaelewa unazungumzia nini.

Labdrover 3 au 4 Tdi Vhs ya diesel hizo ndio gari mkuu usikatishwe tamaa hapa watu magari hawajui hata ukiuliza Ford Ranger XLT 2016,au Ford Raptor, Mercedes Benz X utaambiwa matatizo hayo wakati gari hizo zimevunja Record ya mauzo yaliyowekwa na Navara,Isuzu Kb,Toyota d4d kwa kipindi kirefu...
WAtu wamekariri, Sema tu atunze na service afanye kwa wakati, asitumie Oil ya Tabata Dampo na filter za buku 5 kule Mtaa wa Kihonda kariakoo:
Check engine itatuliwe fasta, ni gari zuri la kwendea UKWENI.
 
Back
Top Bottom