Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ,hapo kwenye Pathetic nimeelewa ila sasa huku kwenye greedy Pig [emoji241][emoji200] umefikaje mkuu, unajua hii comment ni ya zamani ila nimecheka balaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nawaza nguruwe mchoyo kakunyima nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pathetic, greedy pig!!
Ndoto zangu bado zipo lazima niikamate disco3
WAtu wamekariri, Sema tu atunze na service afanye kwa wakati, asitumie Oil ya Tabata Dampo na filter za buku 5 kule Mtaa wa Kihonda kariakoo:mkuu hiyo gari haina shida kama mdau anavyoongea hapo juu ni gari bora, lina balance, confortable sana ndani, speed ipo na imara Landrover hiyo haili mafuta simu yangu inagoma ku upload picha zake inawezekana Bufa ajaelewa unazungumzia nini.
Labdrover 3 au 4 Tdi Vhs ya diesel hizo ndio gari mkuu usikatishwe tamaa hapa watu magari hawajui hata ukiuliza Ford Ranger XLT 2016,au Ford Raptor, Mercedes Benz X utaambiwa matatizo hayo wakati gari hizo zimevunja Record ya mauzo yaliyowekwa na Navara,Isuzu Kb,Toyota d4d kwa kipindi kirefu...
Ndani ya SADC inapungua kidogoHv kodi ya kulipa magari yaliyotengenezwa ndani ya SADC ipo sawa na yale yanatoka nje ya SADC?
Kwa asilimia ngapi Mkuu...kama unajuaNdani ya SADC inapungua kidogo
Jaman hivi kweli tunabishana kuhusu ubora wa Discover landrover?
Engine ya rav 4 inakaa vizuri tuHii Landrover unaeeza visha engine ya Noah?
Ni arguments, yako ni ipi? Bora au si bora dq kwa sababu ipi?[/z2]
Q qa22
Engine ya rav 4 inakaa vizuri tu
R2 z2
Ws42
Po pool ploloop l jimpolite on7 Lomokk lol opl Olmstedpp3llNdoto zangu zipo hapo