Land Rover Festive Arusha 2024

Haina tofauti na mababu waliopewa shanga na vioo kisha wao wakatoa dhahabu.
 
sijawahi kufika Arusha lakini naiona mitaa ya kati kupitia landrover festival.
Najiuliza hili ndio linaitwa jiji?
Naona leo ni siku mbaya kwa wenye gari aina zingine, wamezipaki kinyonge pembeni.

# TANZANIA JIJI NI MOJA TU# DAR- ES - SALAAM
 
Saa zingine wanaichukia Arusha bila sababu za msingi hasa hao wanao waita watanganyika wenzao "wamkoani"
Ngoja uone watakavyokandia😂😂😂😂
1. Arusha wenye watu makini na wenye maendeleo makubwa kuliko mkoa wowote Tanzania....hapa naongelea wananchi wa chini...

2. Mji wenye mandhari ya kipekee huwezi fananisha na mkoa wowote

3. Watu sio tegemezi wala omba omba

4. Watu wanaojiamini

5. Mkoa wenye ardhi yenye thamani kuanzia mjini hadi vijijini.

Utaiponda Arusha kwa maneno moyoni ukiipenda kwa siri🤣
 
Arusha hii tunayoiona hapa TBC?
 
sijawahi kufika Arusha lakini naiona mitaa ya kati kupitia landrover festival.
Najiuliza hili ndio linaitwa jiji?
Naona leo ni siku mbaya kwa wenye gari aina zingine, wamezipaki kinyonge pembeni.

# TANZANIA JIJI NI MOJA TU# DAR- ES - SALAAM
Ndio linavyojengwa hivyo...
Uwanja mkubwa
Barabara mpya n.k
Ndio maana siasa za kihuni zimewekwa kando na mbadala ni show kama hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…