MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Haina tofauti na mababu waliopewa shanga na vioo kisha wao wakatoa dhahabu.Hoja ya MamaSamia2025 ina nguvu kuliko hoja Mpasuaji wa Manesi.
Hiyo festival yenu Haina win to win chance bali Kuna kutumika na kutumiwa.
Makonda/Tanzania inatumika na kampuni. Kampuni ina-gain, TZ ni looser.
Habari za kusema wananchi watanufaika Kwa kuchoma na kuuza bia, hoja hiyo Haina nguvu. Sababu, endapo kampuni ingetoa Pesa zao kudhamini hiyo festival bado wananchi wangechoma na kuuza vinywaji.
Maoni yangu:
Kuna mtu anajijenga yeye binafsi (Kwa manufaa yake ya baadaye) kuliko nchi.