Land Rover Festive Arusha 2024

Land Rover Festive Arusha 2024

Hoja ya MamaSamia2025 ina nguvu kuliko hoja Mpasuaji wa Manesi.
Hiyo festival yenu Haina win to win chance bali Kuna kutumika na kutumiwa.
Makonda/Tanzania inatumika na kampuni. Kampuni ina-gain, TZ ni looser.
Habari za kusema wananchi watanufaika Kwa kuchoma na kuuza bia, hoja hiyo Haina nguvu. Sababu, endapo kampuni ingetoa Pesa zao kudhamini hiyo festival bado wananchi wangechoma na kuuza vinywaji.

Maoni yangu:
Kuna mtu anajijenga yeye binafsi (Kwa manufaa yake ya baadaye) kuliko nchi.
Haina tofauti na mababu waliopewa shanga na vioo kisha wao wakatoa dhahabu.
 
sijawahi kufika Arusha lakini naiona mitaa ya kati kupitia landrover festival.
Najiuliza hili ndio linaitwa jiji?
Naona leo ni siku mbaya kwa wenye gari aina zingine, wamezipaki kinyonge pembeni.

# TANZANIA JIJI NI MOJA TU# DAR- ES - SALAAM
 
Saa zingine wanaichukia Arusha bila sababu za msingi hasa hao wanao waita watanganyika wenzao "wamkoani"
Ngoja uone watakavyokandia😂😂😂😂
1. Arusha wenye watu makini na wenye maendeleo makubwa kuliko mkoa wowote Tanzania....hapa naongelea wananchi wa chini...

2. Mji wenye mandhari ya kipekee huwezi fananisha na mkoa wowote

3. Watu sio tegemezi wala omba omba

4. Watu wanaojiamini

5. Mkoa wenye ardhi yenye thamani kuanzia mjini hadi vijijini.

Utaiponda Arusha kwa maneno moyoni ukiipenda kwa siri🤣
 
1. Arusha ndiomkoa wenye watu makini na wenye maendeleo makubwa kuliko mkoa wowote Tanzania....hapa naongelea wananchi wa chini...

2. Mji wenye mandhari ya kipekee huwezi fananisha na mkoa wowpte

3. Watu sio tegemezi wala omba omba
4. Watu wanaojiamini
5. Mkoa wenye ardhi yenye thamani kuanzia mjini hadi vijijini.

Utaiponda Arusha kwa maneno moyoni ukiipenda kwa siri🤣
Arusha hii tunayoiona hapa TBC?
FB_IMG_1699990708879.jpg
 
sijawahi kufika Arusha lakini naiona mitaa ya kati kupitia landrover festival.
Najiuliza hili ndio linaitwa jiji?
Naona leo ni siku mbaya kwa wenye gari aina zingine, wamezipaki kinyonge pembeni.

# TANZANIA JIJI NI MOJA TU# DAR- ES - SALAAM
Ndio linavyojengwa hivyo...
Uwanja mkubwa
Barabara mpya n.k
Ndio maana siasa za kihuni zimewekwa kando na mbadala ni show kama hizi
 
Back
Top Bottom