Land Rover Festive Arusha 2024

sijawahi kufika Arusha lakini naiona mitaa ya kati kupitia landrover festival.
Najiuliza hili ndio linaitwa jiji?
Naona leo ni siku mbaya kwa wenye gari aina zingine, wamezipaki kinyonge pembeni.

# TANZANIA JIJI NI MOJA TU# DAR- ES - SALAAM
Baki huko huko,Acha watu wafurahie maisha na landrover festival

Nyie huku jf mtaandika andika sana
 
Bata tu lakini haina tija yoyote hiyo festival yaani ni kama sub-royal tour tu Arusha inapigiwa promotion kwa Watu wenye hela zao waje kuuziwa. Refer Royal Tour maeneo yaliyotangazwa kwenye ile filamu yote yameshauzwa
Ni namna ya kuwaambia waingereza waendelee kufyatua spare parts za land rover, soko bado lipo Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…