Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Arusha bora hata Ubungo😅Aaah kumbe dogo hujafika Arusha?
Kua kua kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arusha bora hata Ubungo😅Aaah kumbe dogo hujafika Arusha?
Kua kua kwanza
Baki huko huko,Acha watu wafurahie maisha na landrover festivalsijawahi kufika Arusha lakini naiona mitaa ya kati kupitia landrover festival.
Najiuliza hili ndio linaitwa jiji?
Naona leo ni siku mbaya kwa wenye gari aina zingine, wamezipaki kinyonge pembeni.
# TANZANIA JIJI NI MOJA TU# DAR- ES - SALAAM
Utakuwa mshamba sana kumbe, hujui hata vigezo vya kulinganisha mahali.Arusha bora hata Ubungo😅
Ni namna ya kuwaambia waingereza waendelee kufyatua spare parts za land rover, soko bado lipo AfricaBata tu lakini haina tija yoyote hiyo festival yaani ni kama sub-royal tour tu Arusha inapigiwa promotion kwa Watu wenye hela zao waje kuuziwa. Refer Royal Tour maeneo yaliyotangazwa kwenye ile filamu yote yameshauzwa
Waje wafanye nini?! Au waje washuhudie uchafuzi wa Mazingira hizo gari zenyewe hazina hata catalytic converterSasa hao jamaa WA Guinness mmewaita..? Wapo hapo Arusha??
WapoSasa hao jamaa WA Guinness mmewaita..? Wapo hapo Arusha??
Hata new modelWaje wafanye nini?! Au wake washuhudie uchafuzi wa Mazingira hizo gari zenyewe hazina hata catalytic converter
Wadanganyika wao wanafurahia tu kumbe wanajazwa kwenye mfumoSio Festival, ni parade.
Festival huwa ni tamasha la kiutamaduni mahususi kwa jamii fulani na huwa linafanywa kila msimu, pia Festival hainzishwi na mtu mmoja tu kama parade
Aisee kungekuwa ma ist kama milion hv😅Wakianza IST FESTIVAL nishtuen
Nyingi huwa zinakatwa na kuuzwa hapahapa Dar.Hata new model
TBC nao wanaweza cover kitu ukakipata kwa value yake halisi kweli?Arusha hii tunayoiona hapa TBC?View attachment 3122506
Nimeshangaa sana mtu kama huyo kuuliza swali kama hilo.Yani hayo yote yafanyike wasahau kuita watu wa Guinness?
Nyalandu ndio kasimamia hii show kila kitu kipo professional.