mludego
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,597
- 3,565
Muha wa kigoma utamuweza Kwa chuki na roho mbaya?Humu kuna watu walitarajia itabuma ila wameishia kuumbuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muha wa kigoma utamuweza Kwa chuki na roho mbaya?Humu kuna watu walitarajia itabuma ila wameishia kuumbuka
Sawa ngoja niendelee kuangalia naweza kuziona.utaona tu
Unazeeka vibaya wewe kubwa jingahapo mi chadema imenunaaaa MAKONDA anazidi kupeta tu wenye roho mbaya na makonda wajifie tu kama wanachukia
Silali leo_g.a.f.l.a bin vuu ft bilnassHebu weka Siasa pembeni watu wanakula bata leo
Shetani alipotupwa duniani aliambiwa ‘na walio wako watakufuata’Makonda ana nguvu ya ushawishi
Pole kwa kumfata shetaniShetani alipotupwa duniani aliambiwa ‘na walio wako watakufuata’
Maandiko yanatimia ni hivyo tu!
Mbona sioni maajabu yeyote? Londo mbona chache sana hapa TBC live?
Ni kweli ndugu yangu , mimi nimetoka asubuhi sina hata habari ya hili .Poleni sana, kila jambo lina athari zake.
Opportunity cost,Mpaka saivi tunahangaika barabarani, kisa haya mambo yao.
Wametupotezea muda sana
pole sanaNimetoka moshi saa moja asubuhi, mpaka saivi sjafika Arusha ndugu zangu , foleni ni ndefu sana
Kila mmoja ana haki ...sio kila siku kuna Landrover festivalOpportunity cost,
Kuna mambo yanafanyika kwa maslahi ya Taifa, individual interest must set aside!!
Huna exposureSioni hili tamasha kama lina manufaa yoyote, ninachokiona hapa ni huyu Muandaaji wa hili Tamasha analitumia kujijenga kisiasa kwa maslahi yake binafsi. Kuna vitu vingine kwa hili taifa havina tija yoyote.