Land Rover Festive Arusha 2024

Land Rover Festive Arusha 2024

Hoja ya MamaSamia2025 ina nguvu kuliko hoja ya Mpasuaji wa Manesi.
Hiyo festival yenu Haina win to win chance bali Kuna kutumika na kutumiwa.
Makonda/Tanzania inatumika na kampuni. Kampuni ina-gain, TZ ni looser.
Habari za kusema wananchi watanufaika Kwa kuchoma nyama na kuuza bia, hoja hiyo Haina nguvu. Sababu, endapo kampuni ingetoa Pesa zao kudhamini hiyo festival bado wananchi wangechoma nyama na kuuza vinywaji.

Maoni yangu:
Kuna mtu anajijenga yeye binafsi (Kwa manufaa yake ya baadaye) kuliko nchi.
 
Ni jambo jema sana Kama yote yaliyoandikwa humu yatawezekana
Muhimu hizo kodi za serikali
Je mtaleta takwimu pia kuwa imeingiza kipato kiasi gani?
Haya hutokea kila sehemu kwa kujua je tumefaidika na nini na kwa kiasi gani
Tunasubiri yapite
 
Sioni hili tamasha kama lina manufaa yoyote, ninachokiona hapa ni huyu Muandaaji wa hili Tamasha analitumia kujijenga kisiasa kwa maslahi yake binafsi. Kuna vitu vingine kwa hili taifa havina tija yoyote.
Huna exposure
 
Back
Top Bottom