Land Rover Festive Arusha 2024

Land Rover Festive Arusha 2024

Sioni hili tamasha kama lina manufaa yoyote, ninachokiona hapa ni huyu Muandaaji wa hili Tamasha analitumia kujijenga kisiasa kwa maslahi yake binafsi. Kuna vitu vingine kwa hili taifa havina tija yoyote.
1728780255368.png
 
Makonda kafanya jambo zuri sana; laiiti wakuu wote wangekuwa na ubunifu kama wake labda nchi ingesonga mbvele kidogo.

Namshauru mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro aje na "Toyota Stout Festival." Hayo magari yalikuwa maarufu sana mkoani Kilinajaro kutokana na uwezo wake wa kuhimili vilima. Sasa hivi hayapatikani bali kwa bei kubwa sana ya classic cars kama ambavyo Land rover 109 ilivyo ghali leo.
 
Watangazaji wa TBC wanaotangaza Live watangazaji wenu wanapotosha wanaita Landrover Parade badala ya Landrover Festival jina rasmi watoeni au wakanyeni

Huwezi kwenda kutangaza event ya mtu ana jina Rasmi halafu wewe utunge lako
Vitu vingine ni kuelimishana tuu, neno Land-rover Festival ni jina la tamasha, lakini kitendo kinachofanyika ni paredi ya magari ya Land-rover.

Kama ilivyo maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika hufanywa kwa paredi ya uhuru na Jamuhuri.

Hivyo watangazaji hao wako very right ni paredi ya magari ya Land-rover.

Paredi ni kitu chochote kinachofanywa kwa mwendo wa mpangilio.
P
 
usiingie kwenye mtego wa vilaza zaidi ya parade kuna mengi yamefanyika na yataendelea hadi tarehe 14 kwa hiyo ni Landrover festival.
Ni jambo kubwa na halijawahi kutokea na halitatokea tena kwa miongo mingi ijayo.
 
Watangazaji wa TBC wanaotangaza Live watangazaji wenu wanapotosha wanaita Landrover Parade badala ya Landrover Festival jina rasmi watoeni au wakanyeni

Huwezi kwenda kutangaza event ya mtu ana jina Rasmi halafu wewe utunge lako
Wanatangaza kuanzia muda upi Mkuu?
 
Sasa Mbona Picha ni za Marekani na sio Arusha?
 
Back
Top Bottom