raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Kama huu wa LR msururu ulikuwa 12km wakwenu utakuwa urefu wa dar mwanza 😄😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huu wa LR msururu ulikuwa 12km wakwenu utakuwa urefu wa dar mwanza 😄😆
Mimi nilijua litabuma pia..... Na bado sitaki kuaminiHumu kuna watu walitarajia itabuma ila wameishia kuumbuka
Sioni hili tamasha kama lina manufaa yoyote, ninachokiona hapa ni huyu Muandaaji wa hili Tamasha analitumia kujijenga kisiasa kwa maslahi yake binafsi. Kuna vitu vingine kwa hili taifa havina tija yoyote.
Ha amenata Na Biti0 brain kwenye 1 na 2
Vitu vingine ni kuelimishana tuu, neno Land-rover Festival ni jina la tamasha, lakini kitendo kinachofanyika ni paredi ya magari ya Land-rover.Watangazaji wa TBC wanaotangaza Live watangazaji wenu wanapotosha wanaita Landrover Parade badala ya Landrover Festival jina rasmi watoeni au wakanyeni
Huwezi kwenda kutangaza event ya mtu ana jina Rasmi halafu wewe utunge lako
usiingie kwenye mtego wa vilaza zaidi ya parade kuna mengi yamefanyika na yataendelea hadi tarehe 14 kwa hiyo ni Landrover festival.Vitu vingine ni kuelimishana tuu, neno Land-rover Festival ni jina la tamasha, lakini kitendo kinachofanyika ni paredi ya magari ya Land-rover.
Kama ilivyo maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika hufanywa kwa paredi ya uhuru na Jamuhuri.
Hivyo watangazaji hao wako very right ni paredi ya magari ya Land-rover.
Paredi ni kitu chochote kinachofanywa kwa mwendo wa mpangilio.
P
😀😀Mkuu umetishaaSisi huku Mwanza tupo busy na Phonex Festival
View attachment 3123371
Wanatangaza kuanzia muda upi Mkuu?Watangazaji wa TBC wanaotangaza Live watangazaji wenu wanapotosha wanaita Landrover Parade badala ya Landrover Festival jina rasmi watoeni au wakanyeni
Huwezi kwenda kutangaza event ya mtu ana jina Rasmi halafu wewe utunge lako
Picha zipi izo mkuuu?Sasa Mbona Picha ni za Marekani na sio Arusha?
Nani? CHADEMA?Humu kuna watu walitarajia itabuma ila wameishia kuumbuka