Chid nyimbo zake za Natubu (2005) na Umenisoma (2007) ni track za maana sana, mistari ya humo ndani ilikuwa imejaa ukweli na ilikuwa ni ya akili sana...Chidi benz,na wasanii wote wasioheshimika saiv ipo siku nao watapata heshima nzuri nzuri na sifa kede kede kama Langa.
Natubu aliitoa 2005 ???Chid nyimbo zake za Natubu (2005) na Umenisoma (2007) ni track za maana sana, mistari ya humo ndani ilikuwa imejaa ukweli na ilikuwa ni ya akili sana...
Ndio, production ya Lindu (producer)Natubu aliitoa 2005 ???
From profile picture to proper future
Ok sawa sawa Lindu studio yake ilikua msasani kipindi hichoNdio, production ya Lindu (producer)
R.I.P Langa though my best song kutoka kwake ni "Rafiki wa kweli"
Ohoooo!!!Watoto wa kingoko kuaribika ilikuwa easy sana
Walipenda kuiga
Ova
kwa niniWatoto wa kingoko kuaribika ilikuwa easy sana
Walipenda kuiga
Ova
The best MC ever